Hivi Makonda ndio "katoswa" au kuna mchongo anatengenezewa?


Mkuu kama wewe mwanamume. Umeangusha sana chama cha wanaume. Majungu na maisha ya mwanamume mwenzako unayatakia Nini. Hivi JF imekuwaje.
 
Kwa historia ya makonda.. huyu lazima alikuwa TISS hata kabla ya kumaliza chuo. Ndyo maana alitumia muda mrefu vyuoni.

Na kumbuka mkuu wa mkoa ndyo mwenyekiti wa TISS kwenye mkoa husika. Sasa kwa matukio yaliyokuwepo 2015 to 2020, makonda anasiri nyingi za TISS. Na ninahisi hivi sasa anashavu kubwa ndani ya TISS hasa kitengo cha umafia.
 
Dhohofu bin hali. Anaumwa sana, tia maji. Usicheze na wauza ngada.
 
Umaskini ni m'baya sana.
Maskini anamuonea huruma tajiri.
Na kumsengenya.
 
Hata akipewa uwaziri hatopendeza kama alivyokuwa rc mwenyewe nimemmiss alikuwa na vitu vyake tofauti.😂😂
 
Umbea

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Makonda anaenda kuchukua nafasi ya Polepole mkutano mkuu wa ccm ujao na Kuna tetesi mbili either kua Katibu mkuu au mbunge nafasi kumi za rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…