Hivi Makosa wa Iringa bado yupo?

IPECACUANHA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
3,226
Reaction score
1,919
Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo?

Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu?
 
Mkuu ni mwanaume acha kufatilia maisha ya watu tafuta pesa na jipambanie utoboe.
 
Namkumbuka Makosa last time alikuwa na kibar kinaitwa makosa hyo 2007/08
 
Huwa namuona kachoka sana sizani kama ana pakulala
Wakazi wa Iringa hivi huyu mwamba wa Iringa aliyewahi kumiliki vibasi vyanavyokwenda Ilula na Zahanati yupo?

Anaendeleaje na maisha yake ambayo ni hadithi tosha yenye mafunzo kwa watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…