Hivi Malaika huzaa na kufa pia?

Nini maana ya roho? Je roho inapatikana kwa binadamu pekee au hata viumbe wengine kama vile kuku nao wanayo roho?
 
Quran siyo Kitabu cha Mungu ndo maana ni
 
 
Emb twende na vyote kutafuta ulinganifu.
Umesema kabla ya kuumbwa binadamu hapakuwepo na jinsia ya kike.
Twende kwenye baiolojia .
Inasemekana kiumbe binadamu ameumbwa wa mwisho. Kabla yake viumbe vyote vilikuwepo, hadi viumbe vingine viliangamia kabla ya binadamu kuumbwa, mfano dinosaurs.
Pointi hiyo ni kwamba viumbe vilikuwepo kwa jinsia mbili jike na dume, pia kifo kilikuwepo asilia kabla ya historia ya binadamu.
Hadithi za kusema binadamu aliumbwa dume peke yake,wakati teknolojia ya uzazi na vifo ilikuwepo tayari, mimi ninakuwa na wasiwasi katika kuamini muktadha mzima juu ya ukweli wa hadithi zihusuzo uumbaji wa M/Mungu zilizotungwa na binadamu kama zina chembe yoyote ya ukweli.
 
Mkuu haya Mambo ukihoji Sana kichwa kitakuuma we ishi unavyoweza,Mambo haya hayana kichwa Wala miguu tumapelekwa tu
 
Mwaka juzi alidondoka malaika london kwa hiyo unaweza kwenda kumuuliza zaidi swali lako
 
Suala LA kuzaa Sina uhakika mana nijuavyo malaika wote ni wanaume Mikael, lafael, Gabriel n.k. Ile mijitu mikubwa Goliath walitokana na malaika kuwaingilia binadamu WA kike ndo wakatokea kina goliati
 
Kweli kabisaaaaa
 
Umejichanganya ndugu. Mimi nimesema kabla ya kuumbwa kwa Binadamu hakukuwa na jinsia ya kike ya jamii inayojitambua kama Malaika na sio WANYAMA.
Kumbuka mada inajadili kuhusu MALAIKA.

Pia Chanzo cha habari zangu nimekitoa katika kitabu cha kale zaidi, yaani cha zamani zaidi au kitabu cha kwanza kuandikwa katika historia ya Binadamu.
Biblia takatifu ambayo ina agano la Kale na Jipya. Na sio vitabu vya hadithi kama unavyosema umevinukuu.
Biblia ni Kitabu cha Kweli na sio cha hadithi.
Ukweli na Ukale wa Biblia ndio unaofanya kuwa kitabu cha kwanza kuuzwa kwa wingi zaidi hapa duniani, kikiwa kimeandikwa katika lugha nyingi zaidi kupita vitabu vyote.
Kitabu hicho cha ukweli kinasema wazi kuwa Eva ni mwanamke wa kwanza kuumbwa, hapa hatuzungumzii wanyama.
Kabla ya ulimwengu na wanyama kuumbwa, jamii iliyokuwepo ni Malaika na Shetani. Mungu ndiye aliyekuwa muumbaji wa jamii hizo.
Hapo sasa ndipo palipokosa jinsia ya kike.
Malaika na Shetani wote ni wanaume Biblia inasema.
Ukisoma kitabu cha Mwanzo sura ya 18 utaona jinsi Mungu alivyomtokea Ibrahimu akiongozana na Malaika wawili akiwa njiani kuangalia vilio vya Sodoma na Gomola.
Wote walijitokeza katika mwonekano wa Binadamu Wanaume Watatu.
Ibrahimu akamtambua Mungu akawaandalia chakula wakala, Mungu akamwambia kuwa atamzaa Isaka.
Mwisho Ibrahimu akamwambia Mungu, Bwana ikiwa huko watapatikana watakatifu kumi je utaichoma moto Sodoma na Gomola ? Mungu akamjibu hataichoma wakipatikana watakatifu
kumi.
Labda nikuambie hivi ili uelewe.

Kabla ya ulimwengu huu tunaouona kwa macho na kuupapasa haujaumbwa, hakukuwepo jinsia ya KIKE.

Eva ni Mwanamke wa kwanza kuumbwa katika jamii inayojitambua.
Wanyama sio wanawake ni wa kike.
 


Dahh inatisha sana mkuu, kwahiyo ukisikia parapanda ukiamua kunyuti ama kukaa kimya kaburiini usijitokeze nini kitafuata? au kutakua na msako wa kaburi hadi kaburi?
 
Mbona tunasikia kupitia vitabu vya dini na mahubiri tofauti kwamba ukitenda wema siku ya mwisho unakabidhiwa chombo mtoto mrembo malaika uburudike nae hapo vip wakuu wekeni wazi
 
We ukisikia parapanda linapigwa kaa kimya kaburini unajificha kidogo mpaka sensa ipite wakutafute kaburi hadi kaburi
 
Dahh inatisha sana mkuu, kwahiyo ukisikia parapanda ukiamua kunyuti ama kukaa kimya kaburiini usijitokeze nini kitafuata? au kutakua na msako wa kaburi hadi kaburi?
Yan hiyo itakua, automatically ukisikia tu unatoka kaburini mbio kuelekea uwanja wa kisimamo yaan kiyama,kiyama maana,yake,ni,kisimamo yani tutasimama sana Siku hiyo mpaka watu wataomba mungu ahukumu tu wa,peponi waende wa,motoni waende
 
Mbona tunasikia kupitia vitabu vya dini na mahubiri tofauti kwamba ukitenda wema siku ya mwisho unakabidhiwa chombo mtoto mrembo malaika uburudike nae hapo vip wakuu wekeni wazi
Watakao ingia peponi ndo wataozeshwa mahurain 70 yan wasichana bikra ambao hawazeeki wapo na ujana cku zote
 
Watakao ingia peponi ndo wataozeshwa mahurain 70 yan wasichana bikra ambao hawazeeki wapo na ujana cku zote
wacha bana daah raha sana sasa watakubali kugegedwa na kutiwa mimba au hamna tena kuzaa?
 
Yan hiyo itakua, automatically ukisikia tu unatoka kaburini mbio kuelekea uwanja wa kisimamo yaan kiyama,kiyama maana,yake,ni,kisimamo yani tutasimama sana Siku hiyo mpaka watu wataomba mungu ahukumu tu wa,peponi waende wa,motoni waende

Daah siku hiyo noma itabidi kila mtu akae na familia yake karibu kuteteana
 

Hata biblia ni kitabu cha hadithi pia, Kwa maana Ulimwengu ndio uliyoanza kuwepo kwanza na watu walikuwa wakiishi kama kawaida ndipo baadae zikafuatia hizi simulizi (vitabu vya kidini) Kutoka kwenye kuumbwa kwa ulimwengu hadi kuandikwa kwa biblia kuna miaka mingapi imepita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…