Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,101 Reaction score 38,487 Aug 29, 2012 #1 Mbona hivi ..kaka yangu huyu nilimmisi kweli mpaka ikafika nikiona thread zake naangalia walipukaji naulizia bado yupo hai jamani ..maana jf kubwa jamani kama yupo mpeni hai hata nusu ya heri
Mbona hivi ..kaka yangu huyu nilimmisi kweli mpaka ikafika nikiona thread zake naangalia walipukaji naulizia bado yupo hai jamani ..maana jf kubwa jamani kama yupo mpeni hai hata nusu ya heri
T Teko JF-Expert Member Joined Jul 3, 2010 Posts 230 Reaction score 61 Aug 29, 2012 #2 kweli,siku nyingi sana hajaonekana! Tumemmiss sana!
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Aug 29, 2012 #3 Teko said: kweli,siku nyingi sana hajaonekana! Tumemmiss sana! Click to expand... nimeonapo kajina kako... au ulimaanisha T*KO?
Teko said: kweli,siku nyingi sana hajaonekana! Tumemmiss sana! Click to expand... nimeonapo kajina kako... au ulimaanisha T*KO?
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Aug 29, 2012 #4 R.I.P incase!
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,683 Aug 29, 2012 #5 yupo himu na id kadadhaa
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,411 Reaction score 3,280 Aug 29, 2012 #6 Yupo kajaa tele na ids za kumwaga Moja imeanzisha uzi ati kanisa katoliki linaipataia mkwanja cdm
LOOOK JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,466 Reaction score 822 Aug 29, 2012 #7 yule si mwana magamba embu jiulize magamba yepi yamevuta? Huenda na lenyewe lipo gamba kuu.