Hivi mama Ananilea Nkya ana mume?

Hivi mama Ananilea Nkya ana mume?

Wisdom

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
492
Reaction score
122
Huyu mama ana misimamo sana ambayo kwa wanaume huwa inakuwa vigumu sana kukubaliana nayo, sasa naomba mnijuze ana mume au amewahi kuolewa?
 
Nimekuwa nikijiuliza sana swali hili,ila huyu mama ni muelewa nahisi mumewe hapati tabu.Ila jibu sina
 
Huyu mama ana misimamo sana ambayo kwa wanaume huwa inakuwa vigumu sana kukubaliana nayo, sasa naomba mnijuze ana mume au amewahi kuolewa?

mkuu swali gani hilo? nenda kawaulize RTD/TBC taifa alishafanya kazi kule miaka ya nyuma kitambo huenda wakawa wanajua, sio kuleta maswali ya aina hii humu
 
Vip,
Unamtaka nini??
Kama ndiyo, huitaji kujua masuala yake mengine binafsi, we ingia tu.
Wajua hata Bata ukimchunguza sana "hutomla"
 
unajua mu-israel mmoja=zaidi ya wapalestina 1000.
sasa huyu mama peke yake=akina nani wangapi?
 
Huyu Mama ana mume na watoto. Nyumbani kwake mume na mke ni wakarimu sana nimeshawatembelea mara nyingi
 
unamtaka?
yule hana akili za magamba
hivi ana makinda nae vipi??
 
Margaret Thatcher, the iron lady and past British PM is married to Dennis. She used (i am sure she still does) cook to her husband. What is the big deal?
 
Amtoe wapi?
Kile kichwa sio kizima
OTIS
 
Huyu Mama ana mume na watoto. Nyumbani kwake mume na mke ni wakarimu sana nimeshawatembelea mara nyingi

ana ukarimu gani?? nahisi humjui vizuri na hivi karibuni walikua na mgogoro..ana boa ukikaa nae kwanza anatema mvua af ye muda wote ana haraka yani kachelewa! sawa ni mwanaharakati but she's boring,..yani eeh hata sijui nisemeje
 
Back
Top Bottom