Hivi mama Ananilea Nkya ana mume?

Hivi mama Ananilea Nkya ana mume?

Anaweza kuwa na msimamo nje, kwa mume akawa mpole tu.
 
huyu mama mme wake ni lecturer mzumbe university morogoro anaitwa professor nkya.
 
great thinking in a simple mind.... a dangerous cocktail for one to have in his/her gut

tukiishiwa hoja huwa tunaleta viroja

Viroja ni part of life, vina mafundisho pia mkuu.
 
Nimesha wasilisha kw Mods waache kuuza pombe humu Jf, ona wateja zake mlivyopombeka ktk agenda hii ya Nkya? Kl mtu anaongea kvyake!
 
Huyu Mama ana mume na watoto. Nyumbani kwake mume na mke ni wakarimu sana nimeshawatembelea mara nyingi

Tena ni jirani yangu................ ni mkarimu sana yeye na familia yake.
 
mwaka jana kama sio juzi alipata tuzo (sikumbuki award ya nini) ila kulikuwa na picha kapozi na ubalozi wa marekani pia familia yake including ndugu zake.... bila shaka hapo ndo pakujua kama mmewe alijumuika!
 
acheni jamani, namfagilia sana, ila mawigi yake du! ya jero jero sijui...! bora achane tu.
 
Huyu mama ana misimamo sana ambayo kwa wanaume huwa inakuwa vigumu sana kukubaliana nayo, sasa naomba mnijuze ana mume au amewahi kuolewa?

Si umuulize mwenyewe!! halafu ukiisha jua utamfanya nini??
 
Back
Top Bottom