Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

Kibumbula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2018
Posts
3,683
Reaction score
3,349
Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?.Au sisi vijana tunawaonaje mama zetu?.Fikiria kuwa wewe ni msanii mkubwa maarufu halafu mama yako yuko hivi.AU TUKUBALIANE TUU NA WAKATI?
 
Watanzania wengi ni malimbukeni hapa duniani. Tulitakiwa tuishi kwanza kwenye sayari ya Mars kabla hatujaletwa huku.

Huyo mama ni moja kati ya wanawake wapumbavu kuwahi kuwashuhudia katika wiki chache za hivi karibuni.

Natambua juhudi za Diamond katika kuhakikisha mama yake anapata maisha aliyotamani ila mama hajielewi.
 
Kabisa saa.Hii ni aibu haswaaaa
 
Aah. Kama ndio maisha aliyochagua ni wa kuachana naye tu asituumizage kichwa. Sababu sio kwamba hajui afanyalo.
 
Aah. Kama ndio maisha aliyochagua ni wa kuachana naye tu asituumizage kichwa. Sababu sio kwamba hajui afanyalo.
Kwa hiyo sisi vijana kulala na mama zetu kama tu tumeamua wenyewe si vibaya maadamu tu tunajua tulifanyalo sio?.Au sijakuelewa?
 
Kwa hiyo sisi vijana kulala na mama zetu kama tu tumeamua wenyewe si vibaya maadamu tu tunajua tulifanyalo sio?.Au sijakuelewa?
We si unamsemea Mama Diamond na ndio chanzo cha nilichokiandika. au ulikuwa unamsemea huyo jamaa aliyembeba?
 
Kwa hiyo sisi vijana kulala na mama zetu kama tu tumeamua wenyewe si vibaya maadamu tu tunajua tulifanyalo sio?.Au sijakuelewa?
Kulala nao ni maamuzi tu. Ukiona kwako inafaa basi unaendelea. Yule ambaye kwake sio basi anatafuta vijana wenzie.
 
Kulala nao ni maamuzi tu. Ukiona kwako inafaa basi unaendelea. Yule ambaye kwake sio basi anatafuta vijana wenzie.
Haaaahaaaaaa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji137][emoji137]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…