Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa saa.Hii ni aibu haswaaaaWatanzania wengi ni malimbukeni hapa duniani. Tulitakiwa tuishi kwanza kwenye sayari ya Mars kabla hatujaletwa huku.
Huyo mama ni moja kati ya wanawake wapumbavu kuwahi kuwashuhudia katika wiki chache za hivi karibuni.
Natambua juhudi za Diamond katika kuhakikisha mama yake anapata maisha aliyotamani ila mama hajielewi.
Kwa hiyo sisi vijana kulala na mama zetu kama tu tumeamua wenyewe si vibaya maadamu tu tunajua tulifanyalo sio?.Au sijakuelewa?Aah. Kama ndio maisha aliyochagua ni wa kuachana naye tu asituumizage kichwa. Sababu sio kwamba hajui afanyalo.
We si unamsemea Mama Diamond na ndio chanzo cha nilichokiandika. au ulikuwa unamsemea huyo jamaa aliyembeba?Kwa hiyo sisi vijana kulala na mama zetu kama tu tumeamua wenyewe si vibaya maadamu tu tunajua tulifanyalo sio?.Au sijakuelewa?
Kulala nao ni maamuzi tu. Ukiona kwako inafaa basi unaendelea. Yule ambaye kwake sio basi anatafuta vijana wenzie.Kwa hiyo sisi vijana kulala na mama zetu kama tu tumeamua wenyewe si vibaya maadamu tu tunajua tulifanyalo sio?.Au sijakuelewa?
We achana na maisha ya watu banaaa. Utapata stress bure.Ndioo.Namsemea mama diamond pamoja na huyo kijana kama kijana mwenzangu.
Bora ucheke tu sababu waeza kuta na wewe una jimama lako unalimiliki huko ila umekuja huku uone watu watasemaje.Haaaahaaaaaa[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji137][emoji137]