Hapo sawa. Haya waache vijana wenzio wanaopenda wamama wale maisha usiwaonee wivu. 😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Nina kijana mwenzangu.
Watu wawili hata kama ni wa rika tafauti,wakishaamua kuwa pamoja bila kushurutishwa shida iko wapi?.Mi nawashangaa kweli wanaoumia na mapenzi ya wengine,wangekuwa wameiga picha za uchi sawa,mtu kapiga picha kambeba mkewe wa halali kuna kosa gani hapo?.Una maanisha kuwa mapenzi hayana rika sio?. Kwa hiyo si vibaya mama zetu kulala na vijana wa rika letu sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nimekulia kofia.Kumbe hako kamchezo kwa sasa ni sehemu ya maisha yetu eeeh?.[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Hapo sawa. Haya waache vijana wenzio wanaopenda wamama wale maisha usiwaonee wivu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nisamehe mkuu.Ni mtazamo au maoni tuu ya sisi binadamu.Lengo lilikuwa ni kukusanya mitazamo ya watu.Hicho kitu kwenye jamii yetu kinakubalika.Kama jibu ni NDIO basi hakuna shida.Watu wawili hata kama ni wa rika tafauti,wakishaamua kuwa pamoja bila kushurutishwa shida iko wapi?.Mi nawashangaa kweli wanaoumia na mapenzi ya wengine,wangekuwa wameiga picha za uchi sawa,mtu kapiga picha kambeba mkewe wa halali kuna kosa gani hapo?.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Diamond inabidi ampe maza somo kuhusu umri na vitu gani vya kupost kwenye mitandao kwa mtu wa umri wake, la sivyo kuna siku atashindana na wema kuonyesha nani anajua kugawa denda.
Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?.Au sisi vijana tunawaonaje mama zetu?.Fikiria kuwa wewe ni msanii mkubwa maarufu halafu mama yako yuko hivi.AU TUKUBALIANE TUU NA WAKATI?View attachment 957741
Nisamehe mkuu.Ni mtazamo au maoni tuu ya sisi binadamu.Lengo lilikuwa ni kukusanya mitazamo ya watu.Hicho kitu kwenye jamii yetu kinakubalika.Kama jibu ni NDIO basi hakuna shida.
Duuuu.I'm sorry.Aisee watu wako desperate sana
Shida hapo ni nini?
Hastahili kuwa na furaha kwa sababu amezaa?
Let her enjoy to the fullest maisha mafupi sana haya, na kila mtu ana choice yake!
By the way wengi ni wivu wa kuona Mama zao wanazeeka hawajaweza kuwanunulia japo kitenge
Kwa wanaopenda ndio sehemu yao ya maisha hiyo maana hakuna cha kingine hapo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nimekulia kofia.Kumbe hako kamchezo kwa sasa ni sehemu ya maisha yetu eeeh?.[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Watanzania wengi ni malimbukeni hapa duniani. Tulitakiwa tuishi kwanza kwenye sayari ya Mars kabla hatujaletwa huku.
Huyo mama ni moja kati ya wanawake wapumbavu kuwahi kuwashuhudia katika wiki chache za hivi karibuni.
Natambua juhudi za Diamond katika kuhakikisha mama yake anapata maisha aliyotamani ila mama hajielewi.