Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

Bora ucheke tu sababu waeza kuta na wewe una jimama lako unalimiliki huko ila umekuja huku uone watu watasemaje.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Nina kijana mwenzangu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Nina kijana mwenzangu.
Hapo sawa. Haya waache vijana wenzio wanaopenda wamama wale maisha usiwaonee wivu. 😂😂😂
 
Una maanisha kuwa mapenzi hayana rika sio?. Kwa hiyo si vibaya mama zetu kulala na vijana wa rika letu sio?
Watu wawili hata kama ni wa rika tafauti,wakishaamua kuwa pamoja bila kushurutishwa shida iko wapi?.Mi nawashangaa kweli wanaoumia na mapenzi ya wengine,wangekuwa wameiga picha za uchi sawa,mtu kapiga picha kambeba mkewe wa halali kuna kosa gani hapo?.
 
Hapo sawa. Haya waache vijana wenzio wanaopenda wamama wale maisha usiwaonee wivu. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nimekulia kofia.Kumbe hako kamchezo kwa sasa ni sehemu ya maisha yetu eeeh?.[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Wako akina mama na baba wengi wa aina hiyo. Tatizo ni la kidunia. Ni heri tuulizane changamoto iko sehemu gani?
 
Watu wawili hata kama ni wa rika tafauti,wakishaamua kuwa pamoja bila kushurutishwa shida iko wapi?.Mi nawashangaa kweli wanaoumia na mapenzi ya wengine,wangekuwa wameiga picha za uchi sawa,mtu kapiga picha kambeba mkewe wa halali kuna kosa gani hapo?.
Nisamehe mkuu.Ni mtazamo au maoni tuu ya sisi binadamu.Lengo lilikuwa ni kukusanya mitazamo ya watu.Hicho kitu kwenye jamii yetu kinakubalika.Kama jibu ni NDIO basi hakuna shida.
 
Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?.Au sisi vijana tunawaonaje mama zetu?.Fikiria kuwa wewe ni msanii mkubwa maarufu halafu mama yako yuko hivi.AU TUKUBALIANE TUU NA WAKATI?View attachment 957741
Diamond_Platnumz_and_his_mom_in_Dubai-min.jpg
 
Aisee watu wako desperate sana

Shida hapo ni nini?
Hastahili kuwa na furaha kwa sababu amezaa?

Let her enjoy to the fullest maisha mafupi sana haya, na kila mtu ana choice yake!

By the way wengi ni wivu wa kuona Mama zao wanazeeka hawajaweza kuwanunulia japo kitenge
 
Duuuu.I'm sorry.
 
Jamii ipi?
Kukubalika kwa muktadha gani?

Ni nani anaamua kipi kikubalike na kipi kikataliwe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].We jamaa mbabeeeeee
 
Mungu humuongoa amtakaye, acha wale bata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nimekulia kofia.Kumbe hako kamchezo kwa sasa ni sehemu ya maisha yetu eeeh?.[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Kwa wanaopenda ndio sehemu yao ya maisha hiyo maana hakuna cha kingine hapo.
 
Unatamani kweli kuwa bi Sandra?
Watanzania wengi ni malimbukeni hapa duniani. Tulitakiwa tuishi kwanza kwenye sayari ya Mars kabla hatujaletwa huku.

Huyo mama ni moja kati ya wanawake wapumbavu kuwahi kuwashuhudia katika wiki chache za hivi karibuni.

Natambua juhudi za Diamond katika kuhakikisha mama yake anapata maisha aliyotamani ila mama hajielewi.
 
Back
Top Bottom