Mahaba niue, mahaba niteketeze. Mama ana bembea kwenye mikono salama🙄🙄Duhhh.....[emoji53] [emoji53] [emoji53]
Tatizo kwa huyu mama ni moja tu,kuposti mambo yake na mumewe kwenye mitandao.Inaelekea Mama Diamond alikuwa anamiss sana Ze dudu manake mpaka amekuwa limbukeni sasa. Muda si mrefu tu mtasikia naye katoa sinema ya ngono, subirini tu....huyu Mama si salama kichwani.
Aiseeee.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Tatizo kwa huyu mama ni moja tu,kuposti mambo yake na mumewe kwenye mitandao.
Lakini mengine ayafanyayo yeye na mume wake wanapokuwa faragha kama vile kubebana,kulishana,kubusiana n.k. ni vitu sahihi kabisa.
mapenzi na mahaba hayana umri,
Hakuna tatizo kabisa kabisa,ili mradi tu wenyewe wamekubaliana na kuridhika kwa kila mmoja wao ni sahihi.Una maanisha kuwa mapenzi hayana rika sio?. Kwa hiyo si vibaya mama zetu kulala na vijana wa rika letu sio?
Hapana.Sio kama unavyodhania.Nimewafollow watu wengi saana instagram.Najifunza mengi kwao.Mema na mabaya.Mwisho wa siku ninachambua pumba na mchele.Mleta mada unaonekana wewe ni katika wale vijana walioamua kumkabidhi Mange vichwa vyao kisha wao wakabaki na kiwiliwili tu!
Unafurahisha na inasikitisha pia....Mahaba niue, mahaba niteketeze. Mama ana bembea kwenye mikono salama🙄🙄
Hii sawa tunaweza kusema hashtag Bi mkubwa
we akikupa upigi?Ila kuna watu wana moyo jamani yani kabisa huyo charii anapiga D.o.g style bimkubwa huyo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna tatizo kabisa kabisa,ili mradi tu wenyewe wamekubaliana na kuridhika kwa kila mmoja wao ni sahihi.
Huyo mama ni muislamu na waislamu wote role modal wao ni mtume Muhammad SAW.
Mtume alioa mke wake wa kwanza wakitofautiana kwa umri wa miaka 20 kati yao,mtume alikuwa na umri wa miaka 20 na mke akiwa na miaka 40.
Hongera sana mama diamond
Unatamani kweli kuwa bi Sandra?
kale ka msemo maskini hakipata matako ulia mbwata.bado umekasahauHivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?.Au sisi vijana tunawaonaje mama zetu?.Fikiria kuwa wewe ni msanii mkubwa maarufu halafu mama yako yuko hivi.AU TUKUBALIANE TUU NA WAKATI?View attachment 957741
Kwani mambo yote hukataliwa au kukubaliwa kwa kura?Mijadala kama hii ni sehemu ya kukataa au kukubali vitu kama hivyo.Hawa akina mama wa siku hizi Mmmmm!!!na hii misimamo yetu ya kusema kila mtu aachwe afanye ayapendayo ndo imepelekea visa vya akinamama kuolewa na watoto wao wa kuzaa au akinababa kuzaa na binti zao.Jamii ipi?
Kukubalika kwa muktadha gani?
Ni nani anaamua kipi kikubalike na kipi kikataliwe?
Si ndio walivyoamua hao wamama sasa unawakatazaje. Mbona Mondi kakubaliana na hali.Kwa hiyo mama zetu wafanyapo hayo tukubaliane nao tuu sio?.Au wewe unasema?