Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?

Mahaba niue, mahaba nitekeze. Mama ana bembea kwenye mikono salama🙄🙄
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Japo moyo unauma
 
Mleta mada unaonekana wewe ni katika wale vijana walioamua kumkabidhi Mange vichwa vyao kisha wao wakabaki na kiwiliwili tu!
 
Inaelekea Mama Diamond alikuwa anamiss sana Ze dudu manake mpaka amekuwa limbukeni sasa. Muda si mrefu tu mtasikia naye katoa sinema ya ngono, subirini tu....huyu Mama si salama kichwani.
Tatizo kwa huyu mama ni moja tu,kuposti mambo yake na mumewe kwenye mitandao.
Lakini mengine ayafanyayo yeye na mume wake wanapokuwa faragha kama vile kubebana,kulishana,kubusiana n.k. ni vitu sahihi kabisa.
mapenzi na mahaba hayana umri,
 
Aiseeee.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
kama wameoana kwa maana Kama ni mume na mke wake basi ni mfano mzuri sana wa kuigwa ktk kuonyeshana mapenzi, acheni wivu, mapenzi hayachagui
 
Una maanisha kuwa mapenzi hayana rika sio?. Kwa hiyo si vibaya mama zetu kulala na vijana wa rika letu sio?
Hakuna tatizo kabisa kabisa,ili mradi tu wenyewe wamekubaliana na kuridhika kwa kila mmoja wao ni sahihi.
Huyo mama ni muislamu na waislamu wote role modal wao ni mtume Muhammad SAW.
Mtume alioa mke wake wa kwanza wakitofautiana kwa umri wa miaka 20 kati yao,mtume alikuwa na umri wa miaka 20 na mke akiwa na miaka 40.
Hongera sana mama diamond
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamii ipi?
Kukubalika kwa muktadha gani?

Ni nani anaamua kipi kikubalike na kipi kikataliwe?
Kwani mambo yote hukataliwa au kukubaliwa kwa kura?Mijadala kama hii ni sehemu ya kukataa au kukubali vitu kama hivyo.Hawa akina mama wa siku hizi Mmmmm!!!na hii misimamo yetu ya kusema kila mtu aachwe afanye ayapendayo ndo imepelekea visa vya akinamama kuolewa na watoto wao wa kuzaa au akinababa kuzaa na binti zao.
 
Back
Top Bottom