Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Hakika, nimecheekaaah! Sijui nimekula maharage ya wapi?? Nakubaliana nawe kabisa.Makamo mwenyewe yupoyupo tu kama chips zilizolala hata haeleweki
Yule Mpango kiukweli simuelewi, sometimes YES sometimes NO.
Katiba tukisema kuna haja ya kuanzishwa mchakato wa katiba mpya, tunazomewa.
Wacha watawala waisigine mpaka iote sugu.
Mie nilifikiri ulinzi na usalama ni suala la muungano, ndiyo maana kambi za wajedaa tokea bara zipo na visiwani.
Au team iliyotegemea kusafiri nje ya nchi, imedhurika.
Everyday is Saturday............................... 😎