Hakika, nimecheekaaah! Sijui nimekula maharage ya wapi?? Nakubaliana nawe kabisa.Makamo mwenyewe yupoyupo tu kama chips zilizolala hata haeleweki
Kwahiyo kwenye utendaji haswa kwenye kutekeleza makubaliano ya Ulinzi na JWTZ, Rais Mwinyi huja Dar kuwasilisha maadhimio ya SADC? Au Mwinyi huwasilisha maadhimio halafu Rais Samia hum-bypass waziri wa Ulinzi na kuwasilisha maadhimio kwa jeshi kupitia CDF? Mie sielewielewi hii hierachy of engagement inakaajekaaje?Waziri wa Ulinzi ni Ceremonial Figure hata VP mwenyewe yupo yupo tu unless litokee kama lilotokea kwa mwendazake
Infact Cheo cha VP na Minister of Defence kwa muundo wetu vipo vipo tu na ukikaa vibaya wengi wanakuvimbia tu , JR ame serve for a while na ana security clearance kubwa tu
Baada ya 'tofauti zetu kuzifukia chini', siyo?Rais wa Zanzibar bado ni raia wa Tanzania.
Na rais ana power za kumtuma Mtanzania yoyote kumuwakilisha nje ya nchi kama akijisikia kufanya hivyo
Upeo wako but,Magufuli anajua alifanya vizuri ndio maana akamteua na Samoa Naye anajua alifanya vizuri ndio maana kamuweka kuwa makamu.Kama alipokuwa tume ya mipango aliboronga, akawa waziri wa fedha akawa anapika takwimu (fake data) sasa kwenye ulinzi si ataliangamiza Taifa?
Mimi sioni shida JR kutumika huko as long ana exposure na ni senior Serikalini, Acha andaliwe mana ndio Ajae uyo mkuu, Rais anaweza kuwasiliana na CDF direct bila hata kupitia Waziri wa ulinzi na CDF ana clearance na Rais 24/7 afu mwendezake amesigina kweli katiba ila sijawahi kukusikia hata kidogo au kwa vile upepo umehamaKwahiyo kwenye utendaji haswa kwenye kutekeleza makubaliano ya Ulinzi na JWTZ, Rais Mwinyi huja Dar kuwasilisha maadhimio ya SADC? Au Mwinyi huwasilisha maadhimio halafu Rais Samia hum-bypass waziri wa Ulinzi na kuwasilisha maadhimio kwa jeshi kupitia CDF? Mie sielewielewi hii hierachy of engagement inakaajekaaje?
Mama Samia anapaswa ajitambue yeye nani na aache mambo ya Si-Bromance na afuate utaratibu. Au ndo kumuandaa Mwinyi kupokea Kijiti baada yake?
Pitiful!Upeo wako but,Magufuli anajua alifanya vizuri ndio maana akamteua na Samoa Naye anajua alifanya vizuri ndio maana kamuweka kuwa makamu.
Shida ya Afrika huwezi kuperform fully kwa kuwa anayekuteua anataka ufanye kwa niaba yake, tofauti na wenzetu unateuliwa lakini unafanya kwa niaba ya watu.
Kwhiyo unataka kusema juzi alivyofariki Mwendazake waziri wa Ulinzi at the time Mh. Hussein Mwinyi hakushiriki kwenye smooth transition at his capacity?Waziri wa Ulinzi ni Ceremonial Figure hata VP mwenyewe yupo yupo tu unless litokee kama lilotokea kwa mwendazake
Infact Cheo cha VP na Minister of Defence kwa muundo wetu vipo vipo tu na ukikaa vibaya wengi wanakuvimbia tu , JR ame serve for a while na ana security clearance kubwa tu
Kwahiyo unaridhika kuwa na waziri wa Ulinzi pambo kisa Mwinyi alikuwa waziri wa Ulinzi kwa miaka mingi? wacheni upuuzi!Rais wa Zanzibar kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni sawa na Waziri asie na wizara maalum, hivyo Rais wa Tanzania anaweza kumtumia kwenye majukumu atakayoona anafaa, isitoshe Mwinyi anauzoefu na mambo ya kiulinzi kwa vile alishakaa kwenye wizara hiyo kwa kipindi kirefu, hivyo anaelewa yatokanayo, maazimio pamoja na malengo waliyojiwekea (SADC) tofauti na waziri wa ulinzi aliyeteuliwa hivi karibuni.
Duh!Naona mama kaiomba saudia ifungue ubalozi mdogo znz and not dodoma. Something doesn't feel right.
Agenda zilizokwisha ongelewa Mwinyi anazijua kuliko Waziri aliyeteuliwa hivi karibuni.Kwahiyo unarithika kuwa na waziri wa Ulinzi pambo kisa Mwinyi alikuwa waziri wa Ulinzi kwa miaka mingi? wacheni upuuzi!
Mbona hata ubalozi mdogo wa China, India, Egypt, Mozambique upo Zanzibar tena kwa muda mrefu tu, unashangaa wa Saudia?!Naona mama kaiomba saudia ifungue ubalozi mdogo znz and not dodoma. Something doesn't feel right.
Naona mama kaiomba saudia ifungue ubalozi mdogo znz and not dodoma. Something doesn't feel right.
Kha!!Rais wa Zanzibar bado ni raia wa Tanzania.
Na rais ana power za kumtuma Mtanzania yoyote kumuwakilisha nje ya nchi kama akijisikia kufanya hivyo