nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Hapo umeboronga mkuu, katiba inatamkaje juu ya mamlaka ya ya Rais was Zanzibar?Rais wa Zanzibar bado ni raia wa Tanzania.
Na rais ana power za kumtuma Mtanzania yoyote kumuwakilisha nje ya nchi kama akijisikia kufanya hivyo
Mimi nilishasema huyu makamu wa rais wa bara ni kama hazipo sawa kichwani.Makamo mwenyewe yupoyupo tu kama chips zilizolala hata haeleweki
Hajamtuma kutokana na cheo chake cha urais wa Zanzibar, bali kamtuma kwa Utanzania wake na kwa uzoefu wake wa mambo ya ulinzi.Mimi nilishasema huyu makamu wa rais wa bara ni kama hazipo sawa kichwani.
Kumbe wengi mnamuona kama mimi? 😄😄
Naelewa hilo mkuu... Fikiria angetumwa Philip mpango vile angeenda kuchekacheka bila kuongea chochote 😄Hajamtuma kutokana na cheo chake cha urais wa Zanzibar, bali kamtuma kwa Utanzania wake na kwa uzoefu wake wa mambo ya ulinzi.
Rais angetaka angeweza kukutua hata wewe kama unaufahamu wa hayo mambo maana na wewe ni raia kama Hussein Mwinyi
Mwinyi ni Cabinet member, ni rais wa upande mmoja wa Muungano, pia amekuwa waziri wa ulinzi kwa muda mrefu sana.
Ukisema kikatiba, leta kifungu cha katiba.
Anakula kiapo kama kawaidaUnrelated question: Hivi Rais wa Zanzibar naye kala kiapo cha utii wanachokula mawaziri wengine wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Binafsi sikumbuki kushuhudia hicho kiapo!
Acha uongo huko ni kulewa madaraka na kiprotoko haiji kaibisa rahisi wa nchi nyingine kuiwakilisha nchi nyingine!Rais wa Zanzibar bado ni raia wa Tanzania.
Na rais ana power za kumtuma Mtanzania yoyote kumuwakilisha nje ya nchi kama akijisikia kufanya hivyo
Ndani ya Tanzania Zanzibar si nchi nje ya Tanzania Zanzibar ni nchi. Ndani ya Tanzania Rais wa Zanzibar hadhi yake ni sawa na mawaziri wengine kwani yeye ni Waziri (kivuli) asie na wizara maalum, na ndani ya bunge ana nafasi yake. Kaangalie composition ya bunge. Kitendo cha Rais Suluhu kumtuma Mwinyi ni kutokana na Mwinyi alikuwa waziri wa Ulinzi hivyo agenda nyingi zilizoongelewa kipindi cha karibuni ana uelewa nazo hasa ikiwa kwa upande wa Tanzania yeye ndio hio ndio ilikuwa nafasi yake kuliko waziri wa ulinzi wa sasa.Acha uongo huko ni kulewa madaraka na kiprotoko haiji kaibisa rahisi wa nchi nyingine kuiwakilisha nchi nyingine!
Mi namshauri zile tambo za kua Rais tena anayekidhi inabidi aziweke kivitendo! Aahakikishe hakwazi ufanisi wa Wizara za serikali yake! Hajawekwa Urais kulipa fadhila kwa Mwinyi mtoto!SSH anaamini kwa kumtuma nje Dr Mwinyi ndio anamuandaa kuwa Rais ajaye, pia SSH ana ubaguzi mkubwa wa kuipendelea Zenji na inshu za kijinsia, wanasiasa wanamchekia saivi ili wapewe kitu ila kila mtu anajua huyu ni Rais dhaifu, asiye na uelewa na bomu toka kuanza kwa Tz.
Ikifika 2024 si CCM wala CDM , wote watakuwa wanamtukana tu na kumfanyia hujuma. CCM makundi yatakuwa yanapararuana ili kuhakikisha wanaonesha udhaifu wa SSH na wao wapewe kijiti 2025, huku CDM watakuwa wanaporomosha CD za matusi, kejeli na fitna. Mama anafikiria kumuweka mbele Dr Mwinyi ndio kumuandaa kumbe ndio anamuharibia, muda si mrefu Mwinyi atakuwa political target ya wengi sababu tu ya maono mafupi ya SSH.Mi namshauri zile tambo za kua Rais tena anayekidhi inabidi aziweke kivitendo! Aahakikishe hakwazi ufanisi wa Wizara za serikali yake! Hajawekwa Urais kulipa fadhila kwa Mwinyi mtoto!
Ajue muda wake ukiwa ukingoni hatakuwa na influence ya kumuweka mtu nadhani aangalie mchakato wa 2005 na 2015 kuona kwa jinsi gani BM na JK walivyojikuta mwepesi. Asiisaliti majukumu ya wizara zake kama katiba inavyoowanisha kwa minajili ya Si-Bromance yake na Rais Mwinyi wa SMZ.
Hapakuwa na Power struggle ya ivo BTW kwa akili zako unadhani CDF na Minister of Defence nani mwamuzi wa mwisho kwenye ulinzi? Minister yupo kiutawala zaidi na mambo ya budget ila ki operation CDF ndo headKwhiyo unataka kusema juzi alivyofariki Mwendazake waziri wa Ulinzi at the time Mh. Hussein Mwinyi hakushiriki kwenye smooth transition at his capacity?
Wamesahau kayafa alikuwa anamtuma hadi Pinda kutuwakilisha kisa alikuwa mlamba miguu mzuriRais wa Zanzibar bado ni raia wa Tanzania.
Na rais ana power za kumtuma Mtanzania yoyote kumuwakilisha nje ya nchi kama akijisikia kufanya hivyo
Na safari zote huambatana na huyu waziri wa Ulinzi mpya hivi bado watu hawaelewi kwaniniMwinyi ni Cabinet member, ni rais wa upande mmoja wa Muungano, pia amekuwa waziri wa ulinzi kwa muda mrefu sana.
Ukisema kikatiba, leta kifungu cha katiba.