Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

Nit Picker at best- hakuna maelezo yanayojibu swali lako kwenye katiba ya JMT.
 
Tanzania ina maraisi wawili tu, raisi wa Jamuhuri ya muungano na raisi wa zanzibar., hao ndio maraisi.
 
Hii ni mara ya pili anafanya hivyo wakati kikatiba rais wa Zanzibar ni waziri katika serikali ya muungano lakini huyu mama ama haelewi au anapotoshwa anapokuwa anamtumna rais wa Zanzibar kwenye maswala muhimu ya muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…