DOKEZO Hivi Mamlaka za Mwanza zimeshindwa kukabiliana na magugumaji Ziwa Victoria?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
289
Reaction score
415
Maeneo kadhaa ambayo yamekuwa yakitumiwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kibinaadamu kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza yamekuwa yana magugumaji ambayo yamekuwa changamoto na kukwamishwa shughuli nyingi.

Magugumaji hayo yamekuwa kikwazo mara kadhaa katika vivuko na kusababisha vishindwe kufanya kazi licha ya kuwa kumekuwa na jitihada mbalimbali ninazotajwa na Mamlaka kuwa zitafanyika kuyaondoa.
WhatsApp Image 2025-04-18 at 08.54.16_48e8c6dd.jpg

WhatsApp Image 2025-04-18 at 08.54.17_60c12bf9.jpg

WhatsApp Image 2025-04-18 at 08.55.10_bf92611c.jpg
Ninachojiuliza ni kuwa je, imeshindikana kuyaondoa au kuyapunguza au kutafuta namna yoyote yasiwe kesho kwa vyombo vyetu vya usafiri?

Kama vivuko vimekuwa vikisumbuliwa na magugumaji, vipi kuhusu vyombo mbalimbali vya Ziwani vidogo kama bile mitumbwi! Hali si ndio inakuwa mbaya zaidi.

Kuna muda meli inasimama kando ya maji na inaonekana kama ipo kwenye kapeti.

Nashauri hatua zichukuliwe haraka kukabiliana na hali hii kabla mambo hayajawa mabaya zaidi ya ilivyo sasa.
 
Maeneo kadhaa ambayo yamekuwa yakitumiwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kibinaadamu kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza yamekuwa yana magugumaji ambayo yamekuwa changamoto na kukwamishwa shughuli nyingi.

Magugumaji hayo yamekuwa kikwazo mara kadhaa katika vivuko na kusababisha vishindwe kufanya kazi licha ya kuwa kumekuwa na jitihada mbalimbali ninazotajwa na Mamlaka kuwa zitafanyika kuyaondoa.
Ninachojiuliza ni kuwa je, imeshindikana kuyaondoa au kuyapunguza au kutafuta namna yoyote yasiwe kesho kwa vyombo vyetu vya usafiri?

Kama vivuko vimekuwa vikisumbuliwa na magugumaji, vipi kuhusu vyombo mbalimbali vya Ziwani vidogo kama bile mitumbwi! Hali si ndio inakuwa mbaya zaidi.

Kuna muda meli inasimama kando ya maji na inaonekana kama ipo kwenye kapeti.

Nashauri hatua zichukuliwe haraka kukabiliana na hali hii kabla mambo hayajawa mabaya zaidi ya ilivyo sasa.
Wanafikiria kuiba uchaguziiii....wabakie pale milele.....
 
Back
Top Bottom