Yaani we jamaa mpaka leo hii bado unamchukulia serious Manara kweli, kale kajamaa ni chizi tu na mtu wa mihemko.....anaweza amka alfajiri hii na kuita press kuwa anataka kupiga punyeto hadharani waende kumhoji....wakifika anabadili gia angani.Wakuu
Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling laki 1 kwa wakt ule.cha ajabu hizo perfume sikuwahi wala kuziona madukani.
Hivi ziliishia wapi?
Mkuu, yule chizi hatabiriki, anaweza anzisha kitu sasa hivi baada ya nusu saa akiwaza tu changu anayemnyima usingizi anaacha kila kitu.Wakuu