kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,117
- Thread starter
-
- #21
Utamjua tu! hold on wapiga nyeto na waangalia x wakija humu Utamjua
Ngoja nimtafute Wesley PipesMandingo cha mtoto kwa Wesley Pipes
Niliskia eti amefariki. Sina hakika.
Niliskia eti amefariki. Sina hakika.
JF bwana, sikujua maana ya pilau mpaka baada ya kusoma post hii.Scopion kajaliwa nini.? Ujitahidi kuangalia porn..pilau kama mdau alivyokushauri hapo juu
Haha...karibu mkuuJF bwana, sikujua maana ya pilau mpaka baada ya kusoma post hii.
Yupo, ebu jaribu kupitia GoogleNiliskia eti amefariki. Sina hakika.
Yani ndo unajua leo,sie tulikuwa tunatoroka skuli a-level pale bk kwenda.senta kulikuwa na sehemu wanaonyesha pilau usikuJF bwana, sikujua maana ya pilau mpaka baada ya kusoma post hii.
Ni kabila huko West Africa
Ni mlugulu flani wa mgeta
kajaliwa nn nguvu au mwiliHahaha mandingo ni nani? Muulize roma maana anadai anachapa kama mandingo (ni mmoja ya wanaume waliojaliwa mkuu)
Mandingo linatokana na kabila moja linaitwa Mandinka pia unaweza kuwaita Mandinko, Manding, au Malinke, asili yake kutokea nchi ya Mali kwa wale mliosoma historia mtakumbuka ufalme wa Sundiata. Ni kabila linapatikana katika nchi za Afrika Magharibi kama Guinea na Gambia especially Gambia. Kabila ili pia linapatikana nchi za Sierra Leone, Mali, Liberia, Ivory Coast, Guinea Bissau, Senegal, Burkina Faso, Niger na Mauritania. Hawa watu wana historia ya kuwa wanaume wenye nguvu hasa nguvu za kiume. Kwa hiyo mwanaume akiwa na hali hiyo utasikia anaitwa Mandingo. Sasa kutokana na sifa hiyo ndiyo wenzetu wanawake wa wazungu wameifanya nchi hiyo kuwa nchi ya kitalii yaani sexual tourism. Uwa wanakwenda kupata huduma toka kwa kabila la Mandinka au MandingoHuyu jamaa ni nani? Nimesikia anatajwa tajwa sana.
Moja ya msanii alie mtaja ni Joh Makini kwenye ngoma ya Waya..
Naombeni wataalam wa mambo mnijuze sifa za huyu Mandingo wa ndingo
Ni nani hasa? Na kwanini jina lake linazidi kupaa sana?
uko deeep sikuwahi kujuaMandingo linatokana na kabila moja linaitwa Mandinka pia unaweza kuwaita Mandinko, Manding, au Malinke, asili yake kutokea nchi ya Mali kwa wale mliosoma historia mtakumbuka ufalme wa Sundiata. Ni kabila linapatikana katika nchi za Afrika Magharibi kama Guinea na Gambia especially Gambia. Kabila ili pia linapatikana nchi za Sierra Leone, Mali, Liberia, Ivory Coast, Guinea Bissau, Senegal, Burkina Faso, Niger na Mauritania. Hawa watu wana historia ya kuwa wanaume wenye nguvu hasa nguvu za kiume. Kwa hiyo mwanaume akiwa na hali hiyo utasikia anaitwa Mandingo. Sasa kutokana na sifa hiyo ndiyo wenzetu wanawake wa wazungu wameifanya nchi hiyo kuwa nchi ya kitalii yaani sexual tourism. Uwa wanakwenda kupata huduma toka kwa kabila la Mandinka au Mandingo
Ni watu wenye nguvu ndiyo maana walipelekwa wengi utumwani wakati wa Trial Angle trade
Mandingo linatokana na kabila moja linaitwa Mandinka pia unaweza kuwaita Mandinko, Manding, au Malinke, asili yake kutokea nchi ya Mali kwa wale mliosoma historia mtakumbuka ufalme wa Sundiata. Ni kabila linapatikana katika nchi za Afrika Magharibi kama Guinea na Gambia especially Gambia. Kabila ili pia linapatikana nchi za Sierra Leone, Mali, Liberia, Ivory Coast, Guinea Bissau, Senegal, Burkina Faso, Niger na Mauritania. Hawa watu wana historia ya kuwa wanaume wenye nguvu hasa nguvu za kiume. Kwa hiyo mwanaume akiwa na hali hiyo utasikia anaitwa Mandingo. Sasa kutokana na sifa hiyo ndiyo wenzetu wanawake wa wazungu wameifanya nchi hiyo kuwa nchi ya kitalii yaani sexual tourism. Uwa wanakwenda kupata huduma toka kwa kabila la Mandinka au Mandingo
Ni watu wenye nguvu ndiyo maana walipelekwa wengi utumwani wakati wa Trial Angle trade