Mandingo linatokana na kabila moja linaitwa Mandinka pia unaweza kuwaita Mandinko, Manding, au Malinke, asili yake kutokea nchi ya Mali kwa wale mliosoma historia mtakumbuka ufalme wa Sundiata. Ni kabila linapatikana katika nchi za Afrika Magharibi kama Guinea na Gambia especially Gambia. Kabila ili pia linapatikana nchi za Sierra Leone, Mali, Liberia, Ivory Coast, Guinea Bissau, Senegal, Burkina Faso, Niger na Mauritania. Hawa watu wana historia ya kuwa wanaume wenye nguvu hasa nguvu za kiume. Kwa hiyo mwanaume akiwa na hali hiyo utasikia anaitwa Mandingo. Sasa kutokana na sifa hiyo ndiyo wenzetu wanawake wa wazungu wameifanya nchi hiyo kuwa nchi ya kitalii yaani sexual tourism. Uwa wanakwenda kupata huduma toka kwa kabila la Mandinka au Mandingo
Ni watu wenye nguvu ndiyo maana walipelekwa wengi utumwani wakati wa Trial Angle trade