Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Wazungu huwa wanafanya kitu kinaitwa "Sex Tourism"Asante sana mkuu nimekupata vilivyo.
Kwa hiyo watalii huwa wanaenda kutalii na kuenjoy na Mandinka? Wanatalii kiaje aje sasa?
Makabila ambayo yanasifika kwa kuwasugua wazungu ni hao Mandinka/Mandigo, Maasai wa Kenya na Congolese wa central congo.
Wana sifa ya kutumia miti shamba inayosimamisha mpini mwanzo mwisho
Pia wana mzigo haswa, yaani mirefu na mipana pia.
