Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Mange ni msomi nakumbuka miaka ya 2000 tulifanya nae kazi Stanbic kalikua kadada kapole sana most of time kamezubaasijui huu uchakaramu alijifunzia wapi

Baada ya kuonja bangi
 
Unajua nini LeMbebz.....hawa ‘Team Da’Mange Kasema’ ni majuha mno.
Tatizo ni kumjulia ukubwani huyu bipolar,wengi wao wamemjua wakati wa kampeni 2015, ndio maana wanamwabudu laiti wangalimjua tokea mwaka 2009 huko wasingekuwa wanapovuka hivi! Anyway akisema da'Mange kitu hakuna wa kupinga hahahah.
 
That's means hata wewe huwezi kumpinga Mange. Ndivyo nilivyokuelewa.

Acha kufuru wewe bibi, anayeabudiwa ni Mungu tu.
 
That's means hata wewe huwezi kumpinga Mange. Ndivyo nilivyokuelewa.

Acha kufuru wewe bibi, anayeabudiwa ni Mungu tu.
Matola hivi kwanini hunielewagi Uncle "wangu maana ulishaniitaga we katoto cha 91" nilichokua nakimaanisha hapa ni kwamba majority ukijaribu kumkosoa Mange wanakujibu haka kamsemo "Da'Mange kasema"
Kusema kweli huyu dada nampingaga mno hata zamani kwenye blog yake nilikua nacomment mno kabla hajaifunga kiasi kwamba aliniblock IP adress yangu nikawa nashindwa kufungua.Huko insta ndo usiseme nimeshablokiwa tokea 2015.Nabaki tu kusikia habari zake humu.Hapendi changamoto.
 
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
hili swali zuri kwa makamanda.na vuta kiti ni subiri makarai
 
Kama kesi ni hiyo,kwa nini mnatumia vyombo vya dola kuihujumu Chadema? Kwa nini mnatumia bunduki kuwanyamizisha? Propaganda zingine...ni michosho tu!
Kwa nini mnatumia vyombo vya dola kuihujumu CUF? Kwa nini mnatumia taasisi za umma kuhujumu upinzani? Watanzania wanaona,watanzania wanaelewa....usiwachukulie kuwa ni wajinga au wakabila kama wewe!
 
Na kinachonishangaza zaidi ni vile wanavyoamini kila anachokisema huku mengine yakionekana wazi ni matango pori!!

Approach yake sasa!! It's more of cyberbullying, outing in particular badala ya kujenga hoja!!

Kiroja zaidi ni pale anapotaka aonekane ni free speech activist wakati mwenyewe ana zero tolerance to criticism!!
 
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Kasoma lakini hana tofauti sana na Dr. Shika
 
Jamani mbona nyuzi za mpambano wa Mange Kimambi na Milly aka tzshaderoom zinafutwa tangu jana usiku ?
 
... Ana ilmu kubwa sana huyu dada... Actually nilisoma nae Singapore alipokuwa anachukua masters ya umbea na udaku... Hana mume ila si mchoyo sana.. Na ni mkarimu tu.
 
... Ana ilmu kubwa sana huyu dada... Actually nilisoma nae Singapore alipokuwa anachukua masters ya umbea na udaku... Hana mume ila si mchoyo sana.. Na ni mkarimu tu.
University of Walong long si iko Dubai?
 
Masters mnyonge mnyongeni haki yake mpeni (MASTERS)
 
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!

Masters degree ! Ila kuna watu wana PhD hawajui hata wameipataje!
 
Kwa hiyo Tanzania database yetu ni zero kabisa kiasi hiki!???.

Yaani, tangia mwaka Jana October, hakuna vyeti, hakuna classmates wala kopi ya vyeti hata aina ya fani alizosoma nazo kwisheny!!!?

Hapa mtu akitoka China akagombea urais atachaguliwa kisha baadae sana ndiyo tutaanza kupambana kuhusu uraia wa mteule wetu kutoka China.

Jamani, naenda Wellington kula lunch.
 
we ni tisss.....si mtag insta muulize mwenyewe mkuu!!!.....mbona kujifichaficha jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…