Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unataka kutuambia Da Mange a.k.a Dada wa Taifa naye anatumia fake ID kama wewe?Hana lolote angekuwa mwamba angejitokeza hadharani
Nenda USA yupo amejaa tele viwanja vya LA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kutuambia Da Mange a.k.a Dada wa Taifa naye anatumia fake ID kama wewe?Hana lolote angekuwa mwamba angejitokeza hadharani
hapo umetukana watu..HAJAHITIMU UDSM..ila tumia lugha nzuri..Wivu wa nini sasa?
Ukweli ni ukweli tu.
Na ukweli ni kwamba huyo shujaa wenu hajasoma na kuhitimu UDSM.
Na nyie misukule wake ni wajinga na wapumbavu msio na uwezo wa kufikiri wala kuchanganua mambo.
Mnasubiri aseme ndo muanze kurukaruka kama visichana vya girl scouts.
Amesomea Dubai shahada yake ya umahiri katika uongozi wa biashara,akijikita katiaka masuala ya kibenkiMange amesoma soma
In details alichosomea sikumbuki ila alishawahi kuelezea na amesomea nje
Nasikia kasoma maana kuna watu mwaka Jana walikua na shaka na elimu yake akawaonesha vyet na alivyo graduate
EnaaUmesikia? Hahahaaa
Ule mdomo nafikiri unaongezeka size siku baada ya siku. Anaongea hana breakmange kimambi hajasoma udsm.. ila amesoma.chuo kinachotumia majengo ya udsm.. ndio maana ukitafuta classmates wake wa udsm huwapati...
hajawai fanya U.E ya udsm hata semester moja..
huo ndio uhalisia...
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Let be clear, Kile kichwa cha yule dada sio uzao UDSM tuwe wakweli tu. Kwa kichwa kile UDSM angesoma kozi gani?? Let be serious guys, ndio maana hata sijui hio MBA ni ya Dubai, sasa huko nako kuna elimu kweli??? Waarabu wenye pesa zao elimu nzuri watoto wao wanasoma europe na US. Na nina uhakika followers wake wengi 99% ni vichwa panzi shule ni ziro.
Miafrika ndivyo ilivyo...Nyani Ngabu.
Ila tabia yake kama ameishi tandale.Mange anatoka familia bora ya wasomi. Bila shaka atakuwa na elimu nzuri isiyo ya kuunga unga
Wewe ni uzao wa UDSM??Let be clear, Kile kichwa cha yule dada sio uzao UDSM tuwe wakweli tu. Kwa kichwa kile UDSM angesoma kozi gani?? Let be serious guys, ndio maana hata sijui hio MBA ni ya Dubai, sasa huko nako kuna elimu kweli??? Waarabu wenye pesa zao elimu nzuri watoto wao wanasoma europe na US. Na nina uhakika followers wake wengi 99% ni vichwa panzi shule ni ziro.
Miafrika ndivyo ilivyo...Nyani Ngabu.
Amesomea Dubai shahada yake ya umahiri katika uongozi wa biashara,akijikita katiaka masuala ya kibenki
Lakini kwa alivyojitengeneza,hawezi kupata kazi popote ulimwenguni zaidi ya kuwa blogger
Of course Yes. Kama itathibitishwa pasi na shaka eti kasomea UDSM, mie nitaikana degree yangu ya Bcom ya UDSM. sitaitambua tena. Na UDSM nitakishusha hadhi ya chuo kikuu.Wewe ni uzao wa UDSM??
Aisee... kazi kwelikweli!Of course Yes. Kama itathibitishwa pasi na shaka eti kasomea UDSM, mie nitaikana degree yangu ya Bcom ya UDSM. sitaitambua tena. Na UDSM nitakishusha hadhi ya chuo kikuu.