Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Rafiki wa kitambo wa dada japo mpaka leo hawaongei nna uhakika story nyeti zote za zamani za mpare yeye ndio anayevujisha hata kama Mange anasoma hapa binasfi yeye anajua ni nani.Ila nimemuuliza amekiri kuwa ana MBA huko mbeleni kasema hajui it's up to yeye na kwato zake........ Maneno ya mwisho nimenukuu
 
ccm wote mliochangia juu ya elimu ya mange,mnaonyesha hasira za jinsi huyu mdada anavyowapoteza,kwajinsi alivyo ngariba wenu mzuri na makini.wote mnatoka katika shughuli ya kisu nguo mkononi !!.Mange sasa hivi wanolee jambia lile walilotengeneza sido wakidai ni majambia ya CUF,kipindi kile cha uchaguzi CUF ikiwa wapinzani wao wakuu.kwa mwendo wa jambia ndo utawatoa jandoni bila hata nguo mkononi ndo watakuheshimu kuliko huyo bwana wao anayewapatia riziki,itokanayo na jasho letu.wachawi wakijani nyie,laanatulah !
 
Hiyo elimu inamsaidia nini. Kwa akili za mange hana tofaut na asiye enda shule na hajitambui.

Mkurupukaji kama anayemponda daily, wivu, roho mbaya, mbinafsi, mchafu, psycho etc.
Hizo ndio tabia za mange sidhani kama vinahusika na vyeti
 
Wivu wa nini sasa?

Ukweli ni ukweli tu.

Na ukweli ni kwamba huyo shujaa wenu hajasoma na kuhitimu UDSM.

Na nyie misukule wake ni wajinga na wapumbavu msio na uwezo wa kufikiri wala kuchanganua mambo.

Mnasubiri aseme ndo muanze kurukaruka kama visichana vya girl scouts.
hapo umetukana watu..HAJAHITIMU UDSM..ila tumia lugha nzuri..
 
Mange amesoma soma
In details alichosomea sikumbuki ila alishawahi kuelezea na amesomea nje
Amesomea Dubai shahada yake ya umahiri katika uongozi wa biashara,akijikita katiaka masuala ya kibenki
Lakini kwa alivyojitengeneza,hawezi kupata kazi popote ulimwenguni zaidi ya kuwa blogger
 
Nasikia kasoma maana kuna watu mwaka Jana walikua na shaka na elimu yake akawaonesha vyet na alivyo graduate
 
Mange Kimambi is helping Wanyonge to talk reallity, not like the King Lion
 
mange kimambi hajasoma udsm.. ila amesoma.chuo kinachotumia majengo ya udsm.. ndio maana ukitafuta classmates wake wa udsm huwapati...

hajawai fanya U.E ya udsm hata semester moja..

huo ndio uhalisia...
Ule mdomo nafikiri unaongezeka size siku baada ya siku. Anaongea hana break
 
Let be clear, Kile kichwa cha yule dada sio uzao UDSM tuwe wakweli tu. Kwa kichwa kile UDSM angesoma kozi gani?? Let be serious guys, ndio maana hata sijui hio MBA ni ya Dubai, sasa huko nako kuna elimu kweli??? Waarabu wenye pesa zao elimu nzuri watoto wao wanasoma europe na US. Na nina uhakika followers wake wengi 99% ni vichwa panzi shule ni ziro.
Miafrika ndivyo ilivyo...Nyani Ngabu.
 
SAFI KAMANDA..HUU NDIYO UKWELI
 
Wewe ni uzao wa UDSM??
 
Wewe ni uzao wa UDSM??
Of course Yes. Kama itathibitishwa pasi na shaka eti kasomea UDSM, mie nitaikana degree yangu ya Bcom ya UDSM. sitaitambua tena. Na UDSM nitakishusha hadhi ya chuo kikuu.
 
Of course Yes. Kama itathibitishwa pasi na shaka eti kasomea UDSM, mie nitaikana degree yangu ya Bcom ya UDSM. sitaitambua tena. Na UDSM nitakishusha hadhi ya chuo kikuu.
Aisee... kazi kwelikweli!
 
Back
Top Bottom