Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Hmm....siyo kwamba kasoma chuo [diploma mill] ambacho kilikuwa kinatumia majengo ya UDSM?

Africa au sijui African Virtual University/ AVU?

Manake kuna tofauti kubwa sana hapo!

Hebu hakikisha kwanza hizo taarifa ulizonazo....manake si sawa kwa mtu aliyesomea DeVry university ambayo imekodi majengo kadhaa kwenye campus ya Vanderbilt halafu mtu huyo adai kasoma na kuhitimu Vanderbilt.
Unabisha ujinga tu, ww una elimu gani? Naomba unijibu kwa kuweka vyeti vyako hapa ili niamini. Usije na maneno matupu, tofauti na hapo utakua umeishia chekechea
 
Unabisha ujinga tu, ww una elimu gani? Naomba unijibu kwa kuweka vyeti vyako hapa ili niamini. Usije na maneno matupu, tofauti na hapo utakua umeishia chekechea
The school I go to we don't graduate because the learning never ends.

And that's the School of Hard Knocks.

Whatchu know 'bout that?

FOH.
 
Lini kahitimu UDSM huyo dada yenu?

Misukule wake mnatia huruma sana!!!
The fact kwamb unajarbu kuonyesh hakusom UDSM yani unam degrade ni wazi kwamba unaathirika na hoja zake/umbea kam mnavyouita alafu kwanini mange? wakat nae ni instagram user kama walivo watu wengine kama sio amekuuguza ATELOPHOBIA wakat unajarbu ku weigh nae
 
We nae umekaa kama mchawi, sasa kama unajua kuwa watu wanasema vitu ambavyo hawana uhakika navyo juu ya elimu ya mange kwanini usiseme wewe mwenye uhakika juu ya elimu yake?

Umekaa kuuliza proof tu ila wewe kutoa proof kuwa hana degree au hajasoma UDSM hutoi
Mpotezee huyo asikuumize kichwa..
 
It seems you want to prove him wrong but still beating around the bush! You can just be open and tell the public what you have in your mind about her![/QUOTE

Does he have what you call "mind" ?
 
2004 mange alisoma chuo cha RMIT Royal Melbourne Instute of Technologies, Diploma ya Computer science ambayo ilitolewa kutoka chuo cha Victoria University of Australia kupitia UDSM, akupata maksi za kumruhusu kuendelea na Degree baada ya kushindwa mithiani ya marudio...supp. Aliamua kubadili coz na kusoma BA hapo hapo UDSM kupitia chuo cha CURTIS UNIVERSITY COLLEGE pia kutoka Australia ambacho kilitoa coz zake kupitia UDSM. 2006-2007....akaelekea Dubai kufanya hiyo Masters sijajua ni ya nini....[HASHTAG]#navyojuamimi[/HASHTAG]
[HASHTAG]#classmate[/HASHTAG]
Nahisi wewe ndio umekata mzizi wa fitina mkuu. Safi nahisi tuanzie hapa
 
Achana na vyeti, uliza alipata div. gani form 4?? Naamini huko ndo unaweza kumjua kilaza, vyuoni hakuna kitu, tena km kasoma MBA ndo kabisaaaaa@
Kipindi mange na mimi tunasoma udsm,ilikuwa ngumu sana hata Kwa mtu wa div 4 kuwa admitted udsm hata kama angekuwa mtoto wa lecture wa udsm.
Kwa kifupi nimesoma naye udsm
 
Una uhakika kasoma UD[SM] au unadhani/unahisi/unasadiki tu?

Kasoma na kuhitimu lini hapo UD[SM]?

Ithibati kuwa kasoma UD iko wapi?

Kudahiliwa na chuo kinachotumia majengo ya UD siyo sawa na kusoma UD.

Tofauti ni kubwa sana hapo na wala siyo ngumu kivile kuiona na kuielewa!
Mkuu mange kasoma BCOM udsm
 
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!

Afadhali ungeomba kujua mchango chanya wa Mange Kimambi katika jamii. Paper qualifications na elimu isiyokuwa na tija kwa jamii siyo elimu, hata kama ingekuwa ya kutoka miongoni mwa the most prestigious universities in the world!
 
Shida yako nini, Una wivu unakusumbua,
Ndo hivo dada WA watu Ana degree zake mbili. Hutaki Meza wembe
Wivu wa nini sasa?

Ukweli ni ukweli tu.

Na ukweli ni kwamba huyo shujaa wenu hajasoma na kuhitimu UDSM.

Na nyie misukule wake ni wajinga na wapumbavu msio na uwezo wa kufikiri wala kuchanganua mambo.

Mnasubiri aseme ndo muanze kurukaruka kama visichana vya girl scouts.
 
Wivu wa nini sasa?

Ukweli ni ukweli tu.

Na ukweli ni kwamba huyo shujaa wenu hajasoma na kuhitimu UDSM.

Na nyie misukule wake ni wajinga na wapumbavu msio na uwezo wa kufikiri wala kuchanganua mambo.

Mnasubiri aseme ndo muanze kurukaruka kama visichana vya girl scouts.

I think you are looking for a clapback season with her...

just BNG!!
 
The fact kwamb unajarbu kuonyesh hakusom UDSM yani unam degrade ni wazi kwamba unaathirika na hoja zake/umbea kam mnavyouita alafu kwanini mange? wakat nae ni instagram user kama walivo watu wengine kama sio amekuuguza ATELOPHOBIA wakat unajarbu ku weigh nae
kwelii
 
Back
Top Bottom