Hahahahhh asa nimekosea?
Haya kasomasema kasoma !mange ana akili snaa !kama ni fans wake utanielewa namanisha nn !
Source/ proof?
Kipindi anachambana na Faiza aliweka wazi elimu yake hadi vyuo, fuatilia post zake za nyuma instagram utapata
Kutaka kujua elimu ya mtu ni umbea?? Uyo mange wako ndo mbea mpk anakeraTuambie bashite na babake Magufuli wana elimu gani?
Dume zima unakua mbea mbea[emoji41] [emoji41] [emoji41]
Hmmm...kathubutu kumwuliza hili swali huko kwake Insta, but the girl is educated!Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ahsanteDada wa Taifa Mange Kimambi kwa swala la vyeti tu yupo vizuri tena tu na vyeti vyake havina shaka yoyote.
Ana degree mbili kibindoni.
Kipindi naingia UDSM ....huyo Bibi alikuwa finalist, kakaa Mabibo Hostels Block A. Ila sijajua kasoma nini paleSource/ proof?
Kasoma UD na UNIVERSITY OF WOLLONGONG branch ya DubaiUna uhakika kasoma UDSM?
Hapa tunachohakiki je ana vyeti fake? Jibu ni hapana.Kasoma UD na UNIVERSITY OF WOLLONGONG branch ya Dubai
Sana tu japo kuna watu hawataki kukubali sijui kwa nini!Hapa tunachohakiki je ana vyeti fake? Jibu ni hapana.
Wakiitwa degree holder anatambulika au atambuliki? Jibu ni kwamba anatambulika ndio la msingi.
Kuna mtu pale magogono Thesis yake ni ya maganda ya korosho you can imagine.
Nape Nnauye form kapata division four lakini sasa hivi ana masters ya Mzumbe na degree ya kwanza kapata India.
Mange ni genius, huyu ni dada wa Taifa.Sana tu japo kuna watu hawataki kukubali sijui kwa nini!
D(a)gree?Ana Dagree na Masters ya Business Administration na PhD ya umbea ,Chuki na Roho Mbaya
Thubutuu unadhani kila mtu anaweza kusoma UDSM kuna kachuo fulani hivi kalikua kana branch pale UDSM ndo alikua anasomaKasoma UDSM bachelors' na MBA Dubai......
Kuna nini cha ajabu zaidi ya kwamba ndio University ya kwanza Tanzania?Thubutuu unadhani kila mtu anaweza kusoma UDSM kuna kachuo fulani hivi kalikua kana branch pale UDSM ndo alikua anasoma
Unakomaa na typo errors!! Wenye akili wanahitaji context.D(a)gree?
Au sion vzur
Unavyofikiri wwe ni chuo gani bora Tanzania? Maana kama ni ukongwe Mzumbe, SUA hata college ya IFM ni vyuo kongwe. Nina wasi wasi ulikosa nafasi pale ndo maana povu linakutoka.Kuna nini cha ajabu zaidi ya kwamba ndio University ya kwanza Tanzania?
Au na wewe ndio waliokariri shoeshine ni kiwi tu na margarine ni blue band tu na dawa ya meno ni Colgate.
Haya ni mawazo ya kijima.
Kwenye vyuo bora duniani UDSM kinashika nafasi ya ngapi?Unavyofikiri wwe ni chuo gani bora Tanzania? Maana kama ni ukongwe Mzumbe, SUA hata college ya IFM ni vyuo kongwe. Nina wasi wasi ulikosa nafasi pale ndo maana povu linakutoka.
Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app