Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

2004 mange alisoma chuo cha RMIT Royal Melbourne Instute of Technologies, Diploma ya Computer science ambayo ilitolewa kutoka chuo cha Victoria University of Australia kupitia UDSM, akupata maksi za kumruhusu kuendelea na Degree baada ya kushindwa mithiani ya marudio...supp. Aliamua kubadili coz na kusoma BA hapo hapo UDSM kupitia chuo cha CURTIS UNIVERSITY COLLEGE pia kutoka Australia ambacho kilitoa coz zake kupitia UDSM. 2006-2007....akaelekea Dubai kufanya hiyo Masters sijajua ni ya nini....[HASHTAG]#navyojuamimi[/HASHTAG]
[HASHTAG]#classmate[/HASHTAG]
 
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Hmmm...kathubutu kumwuliza hili swali huko kwake Insta, but the girl is educated!
 
Dada wa Taifa Mange Kimambi kwa swala la vyeti tu yupo vizuri tena tu na vyeti vyake havina shaka yoyote.

Ana degree mbili kibindoni.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ahsante
 
Kasoma UD na UNIVERSITY OF WOLLONGONG branch ya Dubai
Hapa tunachohakiki je ana vyeti fake? Jibu ni hapana.

Wakiitwa degree holder anatambulika au atambuliki? Jibu ni kwamba anatambulika ndio la msingi.

Kuna mtu pale magogoni Thesis yake ni ya maganda ya korosho you can imagine.

Nape Nnauye form kapata division four lakini sasa hivi ana masters ya Mzumbe na degree ya kwanza kapata India.
 
Hapa tunachohakiki je ana vyeti fake? Jibu ni hapana.

Wakiitwa degree holder anatambulika au atambuliki? Jibu ni kwamba anatambulika ndio la msingi.

Kuna mtu pale magogono Thesis yake ni ya maganda ya korosho you can imagine.

Nape Nnauye form kapata division four lakini sasa hivi ana masters ya Mzumbe na degree ya kwanza kapata India.
Sana tu japo kuna watu hawataki kukubali sijui kwa nini!
 
Thubutuu unadhani kila mtu anaweza kusoma UDSM kuna kachuo fulani hivi kalikua kana branch pale UDSM ndo alikua anasoma
Kuna nini cha ajabu zaidi ya kwamba ndio University ya kwanza Tanzania?

Au na wewe ndio waliokariri shoeshine ni kiwi tu na margarine ni blue band tu na dawa ya meno ni Colgate.

Haya ni mawazo ya kijima.
 
Unavyofikiri wwe ni chuo gani bora Tanzania? Maana kama ni ukongwe Mzumbe, SUA hata college ya IFM ni vyuo kongwe. Nina wasi wasi ulikosa nafasi pale ndo maana povu linakutoka.

Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom