Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Hivi Mange Kimambi ana elimu gani?

Kasoma UD na UNIVERSITY OF WOLLONGONG branch ya Dubai

Una uhakika kasoma UD[SM] au unadhani/unahisi/unasadiki tu?

Kasoma na kuhitimu lini hapo UD[SM]?

Ithibati kuwa kasoma UD iko wapi?

Kudahiliwa na chuo kinachotumia majengo ya UD siyo sawa na kusoma UD.

Tofauti ni kubwa sana hapo na wala siyo ngumu kivile kuiona na kuielewa!
 
Kipindi naingia UDSM ....huyo Bibi alikuwa finalist, kakaa Mabibo Hostels Block A. Ila sijajua kasoma nini pale

Some of you people are so terrible at ferreting out facts!

Just because she resided there [Mabibo] it doesn't mean that she was actually a student enrolled at UDSM.

Not everybody who stayed there was a student enrolled at UD.

Goodness gracious! This is not rocket science we are talking about here.

Anywho, show me her UDSM diploma that shows she was conferred a degree from there.
 
"Da Mange" hana roho mbaya isipokuwa ukiingia kwenye anga zake .

Mtukane uone atakutajia michepuko yako yote halafu jiulize ameijuaje?
Kweli kabisa.
Da Mange hana tatizo na mtu, either uingie anga zake ama anapenda sana kuwa mkweli hafichi hisia zake
 
Ana masters ya umbea na majungu na yuko mbioni kufanya PHD ya utahira na uchizi nahisi field atafanyia mirembe
 
Dada Mange...., Pole na malezi ya watoto....

Yaani huwezi amini tumewapiga Yanga moja.., lakini kabla ya sekunde mbili wakachomoa...,
Tunaomba utusaidie kumchamba *Chirwa* maana tunasikia anatumia vyeti feki...

Alisikika shabiki mmoja kindaki ndaki toka Thimbwa..
[emoji23][emoji23][emoji23]
(HILI NDIO ANALIWEZA ZAIDI)
 
Hujaweka chanzo wala ushahidi.

Umesema tu.

Saying it so doesn't make it so!
Soma andiko la Mange ujue kasoma wapi.

7ebdd7c21cfcfbbc07326a190ae45fe5.jpg


00d72c363b29737d4ed29b4a456b6a65.jpg
 
We nae umekaa kama mchawi, sasa kama unajua kuwa watu wanasema vitu ambavyo hawana uhakika navyo juu ya elimu ya mange kwanini usiseme wewe mwenye uhakika juu ya elimu yake?

Umekaa kuuliza proof tu ila wewe kutoa proof kuwa hana degree au hajasoma UDSM hutoi
Team mange kasema logic [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wapi ithibati?
 
2004 mange alisoma chuo cha RMIT Royal Melbourne Instute of Technologies, Diploma ya Computer science ambayo ilitolewa kutoka chuo cha Victoria University of Australia kupitia UDSM, akupata maksi za kumruhusu kuendelea na Degree baada ya kushindwa mithiani ya marudio...supp. Aliamua kubadili coz na kusoma BA hapo hapo UDSM kupitia chuo cha CURTIS UNIVERSITY COLLEGE pia kutoka Australia ambacho kilitoa coz zake kupitia UDSM. 2006-2007....akaelekea Dubai kufanya hiyo Masters sijajua ni ya nini....[HASHTAG]#navyojuamimi[/HASHTAG]
[HASHTAG]#classmate[/HASHTAG]
Ni ya Business Administration
 
Wanajamvi napenda kujua elimu ya Mange Kimambi, mtu yeyote mwenye kufahamu Mange Kimambi ana elimu gani na amesomea fani gani kutoka chuo kipi naomba anisaidie hapa!
Wewe unatakaje? Unafikiri huyo na rais wa dar Es salaam wako sawa mwache bhana na mashule yake bhana mbona hivyoo
 
Back
Top Bottom