Hivi Mansuli atatoka lini kimziki?

Hivi Mansuli atatoka lini kimziki?

Homeboy wng huyu alikua kipindi hiko nakaa Sinza,,,nawasiliana nae sana karudi shule sasa hivi anapiga T.I.A hukoooo kwenye Gas. Kafanya jambo la mbolea kurudi kwenye kitabu maana muziki wa kibongobongo miyeyusho!
 
Ila ashawahi kufaidi na mziki wa bongo?mshikaji umri wake kama miaka ngapi?
 
Mbona alitamba kimtindo miaka ya 2005 na 06 alikua na ngoma kali iliitwa kina kirefu hadi ilikua nominated kwnye kili awards.. Na bado alitoa ngoma nyingi sana kali, sema ndo hivo hiphop ipo kitaani na sio ktk media...
 
mansuli mzee wa kina kirefu... yani miaka kumi kwenye game afu bado anajiita chipukizi... hatari sana...!!
 
Niliwahii kukutana nae palee sinza kijiweni Internet cafe kachooka tuu daah mziki huu bnaa,
 
Mbona alitamba kimtindo miaka ya 2005 na 06 alikua na ngoma kali iliitwa kina kirefu hadi ilikua nominated kwnye kili awards.. Na bado alitoa ngoma nyingi sana kali, sema ndo hivo hiphop ipo kitaani na sio ktk media...
mkuu huyu jamaa hasikiki na hapotei kwenye mziki,yaani yupo ila hasikiki,sasa sijui mziku wa aina hiyo una faida kweli?
 
Ila ashawahi kufaidi na mziki wa bongo?mshikaji umri wake kama miaka ngapi?

Somehow kwani ameweza kujisomesha chuo na kujitegemea,, ni 1982!

Alipiga Mlimani Primary School
Sekondari ni Masjid Quba na Nur Magomeni
High School ilikua Azania
College alipiga CBE sema alikatisha masomo ila kwasasa anaendelea Mtwara

Yuko smart sana upstairs
 
Niliwahii kukutana nae palee sinza kijiweni Internet cafe kachooka tuu daah mziki huu bnaa,

Acha uongo mkuu,,kachoka ki vipi? Yupo kawaida tu ana mitikasi yake anafanya wala haombi hela sasa huko kucheka sijakuelewa? Au alikua anatoka mazoezini akachoka?
 
Somehow kwani ameweza kujisomesha chuo na kujitegemea,, ni 1982!

Alipiga Mlimani Primary School
Sekondari ni Masjid Quba na Nur Magomeni
High School ilikua Azania
College alipiga CBE sema alikatisha masomo ila kwasasa anaendelea Mtwara

Yuko smart sana upstairs
basi kama hivo mziki unalipa maana mpaka mtu kujisomesha ujue kajipinda,hasa kwa hawa mziki wao ambao hauvumi kivile
 
196675978.jpg

Hivi tatizo la huyu jamaa ni nini kwenye mziki?huwezi ukasema kuna wimbo wake hata moja ume-hit,aisee mshikaji mi naona kama hana nyota kabisa.

Wa siku nyingi sana ila sijui kama anakubalika kivile.
Mnaomfahamu huyu jamaa tupeni historia yake,anafanya nini kwa sasa je mziki anafanya kama hobby au kazi?

Viol kumbe na wewe ni KIWAKI

kazi ipo !

S.L.P Nash mc/mjomba/Mc/MP/JKT
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom