Hivi maonyesho ya nane nane Mbeya kwa mwaka huu(2025) hayatakuwepo?

Hivi maonyesho ya nane nane Mbeya kwa mwaka huu(2025) hayatakuwepo?

Mbalizi feedstuff

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
238
Reaction score
269
Sababu ya kuuliza iwapo mashindano haya kama yapo ni kusawazishwa kwa eneo lile kana kwamba kwamba unatengenezwa upya.
 
Kwa nini walibomoa bomoa? Unakuta miaka hata 10 inapita hawajajenga.
 
Ndio yapo tajiri. Unataka tukupatie kauli mbiu ya mwaka huu?
 
Back
Top Bottom