Hivi mapenzi sometimes ni uchizi?

Hivi mapenzi sometimes ni uchizi?

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Posts
3,612
Reaction score
2,567
Jamani, kisa hiki nimekisikia around saa sita/saba kwenye radio Clouds, kwenye kipindi fulani na kiko hivi ....

Kuna jamaa ana mke na anaishi nyumba ya kupanga mahali fulani. Kumbe ktk nyumba hiyo hiyo kuna mpangaji mmoja wa kike ambaye jamaa kamgeuza ndo nyumba ndogo. So inasemakana kuwa jamaa alikuwa anatoroka mara kwa mara na kwenda kukutana na mpenziwe bafuni bila mkewe kujuwa.

Za mwizi arobaini, siku kadhaa zilizopita, jamaa aliaga usiku kuwa anaingia bafuni alipofika huko alikaa kwa muda kidogo ikabidi mkewe atoke kufuatilia. Alipotoka alimuona mumewe anatoka huko bafuni, na kabla hata hawajaingia ndani, yule mpangaji wa kike mwingine naye akatoka bafuni, ndipo mkewe akagundua kuwa kumbe alikuwa anaibiwa na jirani yake.

Sasa najiuliza, hivi mapenzi ni uchizi? Hivi mtu anawezaje kumtoroka usiku mkewe na kwenda kwa jirani kwa nini asimalizie mambo yake kwa mkewe? Maana naona vituko vya haya mambo vimezidi! Wenzangu mna comments gani juu ya hili tukio? :nerd:

Wenu,

HorsePower
 
Ya kawaida kabisa haya hasa kwenye kotazi
Na shuleni/vyuoni
 
The heart has its reasons, which Reason knows nothing of (Blaise Pascal)
 
mbona kawaida sana, kuna jamaa ameoa alikua anamchukua msichana wa jiran ikifika usiku yule msichana anapiga mawe juu ya bati kama ishara ya kumuita jamaa.Jamaa taratibu anaamka na kuijfanya anaenda kuangalia mazingira huku akifoka mbele ya mkewe hawa vibaka wamezidi leo naenda kuwamaliza......................kumbe anaenda kujilia mzigo taratibu
 
binadamu wanatofautiana ndugu.
jambo ww unaliona hw come mwenzio ndio akuu, hata mshipa wa shingo haumsh2ki.
 
Kuna wakati unaweza fanya vitu vya ajabu then later on ndo unagundua umefanya ujinga.
 
kama mme anaweza tembea na house girl kwa nini ashindwe kutembea na jirani yake?
 
Kuna babez zingine zinamoto mshikaji utadhani halua ya moto....C unajua hata halua zinapishana kwa utamu.
 
Binadamu viumbe vya ajabu, kuna kipindi tunafanya mambo utafikiri akili zimeenda likizo.
 
Hizi comment ni funga kazi, yaani nimecheka hapa hadi viumbe walio pembeni wametoa macho utadhani mjusi kabanwa na mlango.
 
Unashangaa dhambi hiyo tu! Kuna binadam wanatenda dhambi za ajabu mpaka yule Lucifer anashangaa anabaki kupena tano na mapepo wenza utaskia,"hebu cheki dhambi,duh! Huyu jamaa noma mi mwenyewe siwezi,hebu kula tano pepo mwenzangu!"
 
Jamani, kisa hiki nimekisikia around saa sita/saba kwenye radio Clouds, kwenye kipindi fulani na kiko hivi ....

Kuna jamaa ana mke na anaishi nyumba ya kupanga mahali fulani. Kumbe ktk nyumba hiyo hiyo kuna mpangaji mmoja wa kike ambaye jamaa kamgeuza ndo nyumba ndogo. So inasemakana kuwa jamaa alikuwa anatoroka mara kwa mara na kwenda kukutana na mpenziwe bafuni bila mkewe kujuwa.

Za mwizi arobaini, siku kadhaa zilizopita, jamaa aliaga usiku kuwa anaingia bafuni alipofika huko alikaa kwa muda kidogo ikabidi mkewe atoke kufuatilia. Alipotoka alimuona mumewe anatoka huko bafuni, na kabla hata hawajaingia ndani, yule mpangaji wa kike mwingine naye akatoka bafuni, ndipo mkewe akagundua kuwa kumbe alikuwa anaibiwa na jirani yake.

Sasa najiuliza, hivi mapenzi ni uchizi? Hivi mtu anawezaje kumtoroka usiku mkewe na kwenda kwa jirani kwa nini asimalizie mambo yake kwa mkewe? Maana naona vituko vya haya mambo vimezidi! Wenzangu mna comments gani juu ya hili tukio? :nerd:

Wenu,

HorsePower

...angemaliza na mkewe, je jirani? shida yake kwa huyo mkaka angeimalizia wapi?
 
Unashangaa dhambi hiyo tu! Kuna binadam wanatenda dhambi za ajabu mpaka yule Lucifer anashangaa anabaki kupena tano na mapepo wenza utaskia,"hebu cheki dhambi,duh! Huyu jamaa noma mi mwenyewe siwezi,hebu kula
tano pepo mwenzangu!"

Umenichekesha sana ndugu,eti mapepo yanakula tano.
 
Unashangaa dhambi hiyo tu! Kuna binadam wanatenda dhambi za ajabu mpaka yule Lucifer anashangaa anabaki kupena tano na mapepo wenza utaskia,"hebu cheki dhambi,duh! Huyu jamaa noma mi mwenyewe siwezi,hebu kula tano pepo mwenzangu!"

dah kama ni uöngo huu sasa umepitiliza
 
Unashangaa dhambi hiyo tu! Kuna binadam wanatenda dhambi za ajabu mpaka yule Lucifer anashangaa anabaki kupena tano na mapepo wenza utaskia,"hebu cheki dhambi,duh! Huyu jamaa noma mi mwenyewe siwezi,hebu kula tano pepo mwenzangu!"
hahahaha
 
kweli mapenzi uchizi ,but huyo ni mpenda uchi tu ,hayo sio mapenzi ,mapenzi ni uamifu na kumheshimu unae mpenda . sio kufanya wazimu kama huo ,toilet kuna mapenzi gani? zaid ya kero. una faidi kitu gani, kuna watu wamedata , na hicho kitu , yaani amekua adicted kama paka akisikia harufu ya samaki ,hampishi mtu, lo! balaa dunian ,ndio kama hao wanapelekea wake zao ukimwi, kwa ngono uzembe.
 
unajua mwanaume mke wake anaweza akawahapo kitandani uchi wa mnyama na jamaa akacha na kwenda kula utamu nje huko...kuna kitu abt kuiba ambacho uongeza utamu katika tendo basi na vishawishi vya yule nyumba ndogo ndio wajikuta akili zinaruka maana ujue kuwa nyumba ndogo anafanya ju chini apindue nyumba kubwa
 
mbona kawaida sana, kuna jamaa ameoa alikua anamchukua msichana wa jiran ikifika usiku yule msichana anapiga mawe juu ya bati kama ishara ya kumuita jamaa.Jamaa taratibu anaamka na kuijfanya anaenda kuangalia mazingira huku akifoka mbele ya mkewe hawa vibaka wamezidi leo naenda kuwamaliza......................kumbe anaenda kujilia mzigo taratibu

He he he imetulia hiyo
 
Back
Top Bottom