Kwanini haujawahi kufikiria mkuu?Sijawahigi kufikiria kuwa na mwanamke humu jf duu kumbe kuna watu wanamahusiano humu aisee dah ni hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vitu ambavyo vipo lkn mie sina hata mpenzi hapaUmeandika kweli...bila shaka uzoefu wako utakuwa umekusaidia kwa hili.
HahahaJirani, naona upo kwenye harakati....tehteehh
Sababu watu wa humu wengi wana fake sasa utanzisha mahusiano na mtu ambaye ni fake wengi wa humu ndani awako real...Kwanini haujawahi kufikiria mkuu?
Mimi natega sikio langu
Nani anakuyumbisha humu.. maana siku hizi umepoa.. kumbe[emoji16]
Huyo bebi na wivu huu.. kwani mnakuwa mmeonana pia..
Wewe wa kike au wa kiume?Sababu watu wa humu wengi wana fake sasa utanzisha mahusiano na mtu ambaye ni fake wengi wa humu ndani awako real...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi kuna bebe mmoja kila nikiona comment yake nachanganyikiwOoouh....
Mkuu naamini umeandika kwa uzoefu
Jimbo huruNi vitu ambavyo vipo lkn mie sina hata mpenzi hapa
Akilaikiwa na kukotiwa sina tatizo. . tatizo ni kubebisha akiiAkiwa ana laikiwa au kuqoutiwa superstar?
Agiza supu hapo nakuja kulipaKama mna mapenzi ya dhati lazima utaona wivu, maana inaanziaga babe ya hapa baadae ya Pm na mwisho ya fundi seremala kwa hiyo lazima karoho kaume
Kwenye nyuzi dada...
Babe, kwani huna picha nyingine?Ebu ngoja nikae kwa hapa nione kama nami nitapata babe....[emoji17] [emoji17] View attachment 1011252