sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Tupo wengii Mkuu!Hili lipo saana.
Bila shaka basi washika pembe tupo wengi.
Ila tuvumilie tu inaweza siku tukawa promoted kutoka mshika pembe mpaka kutunikiwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo wengii Mkuu!Hili lipo saana.
Bila shaka basi washika pembe tupo wengi.
Hahaha hahahaHuu ubinafsi superstar.
Hivi bebi wako ni nani?
EwaaaaaNmeshaagiza dear na ka Mirinda kabaridiiiiiiiii
Ushasema itokee kwanza c rahisi kutokea mana mwanaume anamfata mwanamke sasa mm cnaga tabia za kutongoza wanawake mitandaoni sasa itatokea vipi na mimi izo tabia sinaga...yani c rahisiIkitokea umrmpata unaacha?
Hhahaha liko kwenye mchakatoMi kuna bebe mmoja kila nikiona comment yake nachanganyikiw
Jimbo huru
Kuna bebee nategemea kummiliki hivi karibuni,ngoja nitege sikio nipate uzoefu!
Sawa sawa...nadhani nitakuwa nimekupata vyema.Ushasema itokee kwanza c rahisi kutokea mana mwanaume anamfata mwanamke sasa mm cnaga tabia za kutongoza wanawake mitandaoni sasa itatokea vipi na mimi izo tabia sinaga...yani c rahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,si unajua ndio mambo yanguHahaaa. Nimejikuta nacheka tu.
Unaenda kidaka chozi au
Mmmh.Kuna manzi mmoja humu akiwa mtu wako kama unawivu lazima ujitundike aisee....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijali kabisaaa superstar wanguuSuperstar masuperstar hatufichani bwana.
Urejeshaji wa fomu za maombi umekamilika au bado unaendeleaHhahaha liko kwenye mchakato
Bado unaendelea mwisho 27/6Urejeshaji wa fomu za maombi umekamilika au bado unaendelea
Umeanza uchochezi....Hahaha.
Sasa superstar si utazidi kumuua jamaa kwa wivu...unavyoitamka hiyo wanguu.
Wala haulizi...Nauliza tu? Nawe huulizwi?