Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hapa ni kwa wenye wapenzi hapa kama upo single tega sikio. Mfano babe yako kamwita babe member mwingine!! Unaskia wivu?

Je akimwita babe member mwingine kwa Id usioijua utajuaje ndiyo yeye ili uskie wivu?

Nauliza tu maana huwa ni kawaida kuitana mke/mme/honey/ na zaidi ya member mmoja.
Tusiokuwa na mabebe humu tunakoment pia?

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Hapa ni kwa wenye wapenzi hapa kama upo single tega sikio. Mfano babe yako kamwita babe member mwingine!! Unaskia wivu?

Je akimwita babe member mwingine kwa Id usioijua utajuaje ndiyo yeye ili uskie wivu?

Nauliza tu maana huwa ni kawaida kuitana mke/mme/honey/ na zaidi ya member mmoja.
Wivu unaweza ukawa nao sema inategemea mnapokua kwenye sita hio shughuli anayo kufanyia inakua na uzito kiasi ujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom