Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hivi mapenzi ya JF yana wivu? Nauliza tu.

Hapa ni kwa wenye wapenzi hapa kama upo single tega sikio. Mfano babe yako kamwita babe member mwingine!! Unaskia wivu?

Je akimwita babe member mwingine kwa Id usioijua utajuaje ndiyo yeye ili uskie wivu?

Nauliza tu maana huwa ni kawaida kuitana mke/mme/honey/ na zaidi ya member mmoja.
Wivu upo Olalashe ! kama ni kweli lakini.

Otherwise, hakuna wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom