Hivi marehemu Gadner G Habashi alikuwa na mtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren?

Hivi marehemu Gadner G Habashi alikuwa na mtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren?

Benbulugu

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
852
Reaction score
1,236
Hivi marehemu Gadner G Habashi alikua namtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren? Naulizia hivi kwa maana ndie anaepewa pole pekee kila mahali hasa kupitia mitandao ya kijamii.
 
Binti mmoja wa pekee! Karen

Mwaka juzi alimtambulisha binti mwingine waliyekutana ukubwani lkn leo hajatambulishwa nahisi huyo binti alimtelekeza baba ake kipindi anaumwa hata kwenye msiba leo sikumuona itakua ndio maana hawajamuhesabu.

Au Gardner hakumtambulisha kwa ndugu zake.
 
Karen alimkataa ndugu yake huyo, huyo dada anafanana na gadna kuliko hata karen
 
f321691ec79f7e957ce4ceaa1ea289fe.png
 
Back
Top Bottom