granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
maelezo tafadhal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maelezo tafadhal
Huyo ni binti yake mwinginemaelezo tafadhal
SanaWatu wana siri mno🤣
hakika mwamba alifyatua vitu vya ukwelHuyo ni binti yake mwingine
Kuchoka haswa ,sababu za kuchoka mapema hivi ni Nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu mmechoka term hii[emoji1544]
Huyo Binti Gardner alimpost insta kama miaka 2/3 iliyopita akasema kwamba amefwata na huyo Binti na kudai Gardner ni babake.maelezo tafadhal
Nakumbuka Gardner alisema amechukua vipimo na vimeonesha kwamba, Binti ni wake. Lkn tangu msiba umetokea Binti is no where to be seen.Binti mmoja wa pekee! Karen
Mwaka juzi alimtambulisha binti mwingine waliyekutana ukubwani lkn leo hajatambulishwa nahisi huyo binti alimtelekeza baba ake kipindi anaumwa hata kwenye msiba leo sikumuona itakua ndio maana hawajamuhesabu.
Au Gardner hakumtambulisha kwa ndugu zake.
Unatakaaaa umleee mkuu??Hivi marehemu Gadner G Habashi alikua namtoto mmoja tu ambae ni malkia Caren? Naulizia hivi kwa maana ndie anaepewa pole pekee kila mahali hasa kupitia mitandao ya kijamii.
Mkuu siri anayoo yeyeee mwendazake na majibu ya DNA apumzike kwa amani mwambaNakumbuka Gardner alisema amechukua vipimo na vimeonesha kwamba, Binti ni wake. Lkn tangu msiba umetokea Binti is no where to be seen.
Halafu kama utakumbuka Karen alimkataa dadake hadharani kule insta....
Unajua mtoto wa kumjua ukubwani hata ku bond naye inakuwa kazi ngumu.
Anakula sana kandeKwenda huko🤣.
Nimeona video akiwa msibani sasa nimeshindwa kuelewa lile ni tumbo la kawaida au kuna mtoii
Nataka kujua mkuu,ujue mwanaume wa kiafrika kua na mtoto mmoja tu hasa huyo jamaa nasikia kama alikua mwamba sana kwenye sekta yetu ya mahusiano inakua ngumu au ndio uzungu sijui.Kuna mwamba aliwahi kulaumu sana Obama kua nawatoto wawili tu tena wakike tu.alichukulia kama uzembe nakupoteza legacy.Unatakaaaa umleee mkuu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes madame
Na mie ndio kichanga chake niliye tumboni
Labda yalikuwa mambo ya kick,ila huwezi kumkataa mtoto wa baba yako,wewe si ni bao lake kama yeye tu!!!!Huyo Binti Gardner alimpost insta kama miaka 2/3 iliyopita akasema kwamba amefwata na huyo Binti na kudai Gardner ni babake.
Hivyo Gardner aliamua kufanya vipimo na vipimo vilionyesha kweli ni damu yake.
Ila inaonekana Karen hakukubaliana na hilo na hakubaliki ujio wa dadake. Baada ya pale sijui nini kiliendelea maana kwenye msiba naona anatajwa Karen tu.