Hivi mashabiki wa Yanga mpoje? Simba ikishinda basi hiyo timu nyingi mbovu

Simba ni mbovu na haina uwezo wa kufika robo fainal! mnaenda kupasuliwa na Wydad!

Baada ya kupasuliwa unipe hizo hesabu zako.
 
Mkuu kwani umesahau kuwa wenye akili ni wawili tu huko?
 
Mleta mada mbona hujibu hii comment?😲
 
Simba ni mbovu na kundi la Simba lina timu mbovu zote...!!
 
Unadhani aliewaita utopwinyo alikosea???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishaambiwa kule wenye akili ni wawili tu then unapambana kuwaelewa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…