GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mchaga na matambiko aka uchawi ni uji na mgonjwaMbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba?
Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu.
Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia kujiwekea utaratibu wa kwenda huko Kwenu Kilimanjaro hata katika Miezi mingine na msilazimishe tu huu Mwezi wa Disemba.
au mkiweza igeni tabia za haya Makabila ya 'Washamba' Tanzania nzima ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara, Warangi na Wanyamwezi ambao utaratibu wao wa kwenda Kwao huko huwa ni kila baada ya Miaka Mitano au hata Kumi vile vile.
Acha upuuzi wewe.Mchaga na matambiko aka uchawi ni uji na mgonjwa
USSR
Mpuuzi ni nyie hadi shemeji yenu anawaletea uzi kuwasimangaAcha upuuzi wewe.
Kila mtu afanye anachoona ni sawa kwake. Hakuna aliepangiwa mwenzi wa kwenda kwao. Kila mtu aende akitaka. Sisi Wachagga tumechagua tupambane mwaka mzima halafu mwisho wa mwaka twende kwetu kusalimia wazee wetu na kufurahia sikukuu za Noeli na Mwaka Mpya.
Kama unaona wivu kufa tutatuma rambirambi.
Hunaga akili wewe kaa kwa kutulia.Mpuuzi ni nyie hadi shemeji yenu anawaletea uzi kuwasimanga
USSR
Nani kakwambia warangi wanaenda kwao baada ya miaka 5?Mbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba?
Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu.
Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia kujiwekea utaratibu wa kwenda huko Kwenu Kilimanjaro hata katika Miezi mingine na msilazimishe tu huu Mwezi wa Disemba.
au mkiweza igeni tabia za haya Makabila ya 'Washamba' Tanzania nzima ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara, Warangi na Wanyamwezi ambao utaratibu wao wa kwenda Kwao huko huwa ni kila baada ya Miaka Mitano au hata Kumi vile vile.
Kwetu ni Ibada muhimu sana. Na hali hii itadumu daimaMbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba?
Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu.
Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia kujiwekea utaratibu wa kwenda huko Kwenu Kilimanjaro hata katika Miezi mingine na msilazimishe tu huu Mwezi wa Disemba.
au mkiweza igeni tabia za haya Makabila ya 'Washamba' Tanzania nzima ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara, Warangi na Wanyamwezi ambao utaratibu wao wa kwenda Kwao huko huwa ni kila baada ya Miaka Mitano au hata Kumi vile vile.
Usitupangie! Au unapeleka? Watu kwenda kwao wakati maalum?Mbona miezi iko mingi tu kwanini nyie 'mhangaike' sana na huu Mwezi Mmoja tu wa Disemba?
Kiukweli mnatusumbua sana na hizi Kelele zenu za kila ukifika tu Mwezi huu wa Disemba kuwa kuna shida ya Usafiri na kwamba Nauli nazo huwa zinapandishwa maradufu.
Acheni kuishi 'Kimatambiko' na anzeni pia kujiwekea utaratibu wa kwenda huko Kwenu Kilimanjaro hata katika Miezi mingine na msilazimishe tu huu Mwezi wa Disemba.
au mkiweza igeni tabia za haya Makabila ya 'Washamba' Tanzania nzima ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wakara, Warangi na Wanyamwezi ambao utaratibu wao wa kwenda Kwao huko huwa ni kila baada ya Miaka Mitano au hata Kumi vile vile.
Wivu wa kike huo, kwani ww nani kakuzuia kwenda kwenu?Mchaga na matambiko aka uchawi ni uji na mgonjwa
USSR
Mchaga na matambiko aka uchawi ni uji na mgonjwa
USSR