Hivi 'Mashemeji' zangu 'Wachagga' kwani ni lazima muende Kwenu Kilimanjaro kila 'Krismasi' tu?

Poti wanaenda kufanya matambiko, halafu ruhusa wanayoomba ni kwenda kushughilikia matatizo ya kifamilia...........hawa watu chenga sana.
Nina swali kwan ndio kabila pekee linalofanya mitambiko au mitambiko ni kosa la kisheria?
 
Kabla ya hizo dini kuja . Wazee wetu walikuwa wanasali wapi?
Kwa hiyo hoja yako ni ipi? kama ukristo unakataza ibada kwa miungu/mizimu unawezaje kujitambulisha kama mkristo na hapohapo uendelee na dini yako ya wazee ambayo inaabudu miungu/mizimu. Kwa akili ya kawaida hujaona kuna contradiction hapo.........
 
Kwa hiyo hoja yako ni ipi? kama ukristo unakataza ibada kwa miungu/mizimu unawezaje kujitambulisha kama mkristo na hapohapo uendelee na dini yako ya wazee ambayo inaabudu miungu/mizimu. Kwa akili ya kawaida hujaona kuna contradiction hapo.........
Naona unakwepa na kuzunguka zunguka. Kama si wakoloni ukristo ungeusikia kwenye chupa. Nimekuuliza kabla ya ukristo na dini zingine kuja?
Wenyeji wa huko walikuwa wanaabudu wapi?

Kila mtu ana uhuru wa kuabudu chochote anachoamini. Huwez mpangia.
In the end watu hawezi acha asili zao kisa dini ya kuletwa.
 

Gentamycine aliwahi patwa na ugonjwa wa akili nahisi hadi sasa hajapona vizuri
 
Ulikuwepo huko Moshi ukayashuhudia haya uloandika Hapa? Au it’s just a hearsay tu?
 
👆👆Unaongea utafikiri huko uchaggani ni Calfornia🤣🤣🤣🤣

KUmbe uchaggani HALI HALISI 👇👇
 

Attachments

  • VID-20211120-WA0002.mp4
    11.3 MB
  • VID-20211120-WA0000.mp4
    13 MB
if that is the case, unakuwa unamdanganya nani sasa...........be straight kwamba unaabudu mizimu, kujivika ukristo ni ili iweje kwa mfano.
 
if that is the case, unakuwa unamdanganya nani sasa...........be straight kwamba unaabudu mizimu, kujivika ukristo ni ili iweje kwa mfano.
Hahahaha sijasema mm ndio nina abudu mizimu. Still bado unakwepa vile vile kujib basic question. Wkt hizi dini hazijafika afrika? Watu walikuwa wanaabudu wapi?
 
Ni wivu tu!
 
Kuna msukuma alikua anaishi Dar, alioa mchaga alipokufa Crew la Wachaga upande wa mke wake wakang'ang'ania azikwe Dar ... wakaleta mapolisi, akazikwa kinondoni. Familia ya mume hawakwenda msibani walizira.

Siku ya tatu mama la kichaga likachukua Semi kwenda kupakia ngombe wote wa mme wake shinyaga moja kwa moja akaenda kushusha mnada wa pugu.

Unapoongelea kuoa mchaga jitathmini aisee. Hakuna masikhara pale...wamechanganyikiwa na pesa wale. Utake usitake utakufa tu. Hata kama yeye anakupenda trust me mipango ya kukutanguliza itafanywa na ndugu zakw hata bila yeye kushirikishwa na baadae akisharithi kila kitu ndo wanakaa wanamuuliza ULIKUA UNACHELEWA NINI??
 

Nimeongelea suala la kuoa wapi?
Katika hiyo comment uliyoniqoute kuna mahali nimezungumzia kuoa/kuolewa?
Tuliza kichwa kijana, unachuki kwa wachaga hadi unaqoute unaandika urojo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…