Hivi 'Mashemeji' zangu 'Wachagga' kwani ni lazima muende Kwenu Kilimanjaro kila 'Krismasi' tu?

Aiseee!
 
Ngoja tushushe vifungu vya kwenye biblia wanayoifuata kama wakristu halafu waje wadadavue hiyo mizimu wanayoabudu ni kitu gani hasa.

AYUBU: MLANGO 14.

10 Lakini mwanadamu hufa, hufariki dunia; Naam, mwanadamu hutoa roho, naye yupo wapi?



11 Kama vile maji kupwa katika bahari, Na mto kupunguka na kukatika;



12 Ni vivyo mwanadamu hulala chini, asiinuke; Hata wakati wa mbingu kutokuwako tena, hawataamka, Wala kuamshwa usingizini.



21 Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.
 
Kumbe wewe ni half caste wa kimasai na kichaga [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…