hizo story za wakuda tu walimzushia tonya time baby yupo poa sana.anacheza na tanga ,mombasa ,dar .nasikia yuko uchina alikamatwa na bwimbwi a.k.a poda a.k.a unga
huyo matonya wa dom sijui nae shule yake anasomea wapi.maana huwa anabadili style kila mala. Anaji update.Dah! nikajua mnamuongelea Matonya mweyewe kuja kusoma kumbe mnawaongelea mabwana wadogo,Matonya mwenyewe siku hizi ana style mpya ya kulala kwenye dimbwi la maji huku kikombe chake cha kuomba kikiwa juu.

hizo story za wakuda tu walimzushia tonya time baby yupo poa sana.anacheza na tanga ,mombasa ,dar .
bila shaka bro.

saw the dude in nairobi
Seif shaban aka Matonya aka lodi lofa,aka nginja. Yupo k.ndon studio kwa msela wake sumalanto,alie cheza nae ktk video yake ya kwanza kabisa iliyokwenda kwa jina la MREMBO.kuhusu kuwepo kwake nchini kenya nikweli alikwenda kujifua kidhungu kidogo,na aliludi tanga kabla hajamaliza kujiomea ingrishi kozi ni baada ya kupata msiba wa mdogo wake ally shabani (rip) kuhusu kuwepo kwake uchina kwa sasa si kweli.
pamoja sana mdau.ahsante mdau kwa kutujuza ukweli
Jamani nyie kwani Matonya original ndo kaimba bongo Fleva
hebu someni kidogo ka sread mkaelewa
Matonya celebrity kuliko mwingine yeyote yule kwa wengi wetu ni yule mwenye kopo na kifimbo; hatumjui Matonya mwingine zaidi ya huyu:

Simsikii popote ama bongo ukivuma mwaka mmoja ndo kwisha habari yako ...

nasikiliza wimbo wa Anita hapa wapi Matonya?
Matonya celebrity kuliko mwingine yeyote yule kwa wengi wetu ni yule mwenye kopo na kifimbo; hatumjui Matonya mwingine zaidi ya huyu: nikweli huyo matonya ulombandika hapo ndiye mwenye jina halisi ila hapa nadhani wanazungumzia MATONYA MWANAMZIKI. Huyu matonya jina alibandikwa na washkaji wake wakati anaishi pale k.koo mtaa wa nyati enzi hizo alikuwa na tabia za kuomba omba hivyo ilipelekea wale wasanii wa kundi la cash money lililokuwa pale fire limpe jina la MATONYA.kuna moja ya kibao chake alijitamburisha kabisa:anasema tonya mimi matonya gani...ninae imba barabarani... Kule mbele tena anasema, seif shaban ndiyo jina langu..... asia mzee mama yangu mlezi..... sheby na suma rafiki zangu wapenzi....... Nk.

Matonya celebrity kuliko mwingine yeyote yule kwa wengi wetu ni yule mwenye kopo na kifimbo; hatumjui Matonya mwingine zaidi ya huyu:

ila kweli ubuni zero.tofauti na enzi za akina makamba.au inaweza ikawa na uzee unachangia

Huyu celebrity wetu mbona siku hizi ameishiwa skills, yaani analala kwenye kidimbwi alafu sehemu ambazo watu hawapiti anapata kweli?
nikweli jombi huyu matonya mwanamuziki humjui? Hata kwa mtutu wa bunduki utaendelea kuutetea msimamo wako kwamba HAUMJUI?Huyo ndo matonya wa ukweli, ana strategies kibao za kuomba.., huyo matonya mwingine hatumjui.
nikweli jombi huyu matonya mwanamuziki humjui? Hata kwa mtutu wa bunduki utaendelea kuutetea msimamo wako kwamba HAUMJUI?Huyo ndo matonya wa ukweli, ana strategies kibao za kuomba.., huyo matonya mwingine hatumjui.