Hivi Matonya yuko wapi wadau?

Hivi Matonya yuko wapi wadau?

Dah! nikajua mnamuongelea Matonya mweyewe kuja kusoma kumbe mnawaongelea mabwana wadogo,Matonya mwenyewe siku hizi ana style mpya ya kulala kwenye dimbwi la maji huku kikombe chake cha kuomba kikiwa juu.

huyo matonya wa dom sijui nae shule yake anasomea wapi.maana huwa anabadili style kila mala. Anaji update.

Seif shaban aka Matonya aka lodi lofa,aka nginja. Yupo k.ndon studio kwa msela wake sumalanto,alie cheza nae ktk video yake ya kwanza kabisa iliyokwenda kwa jina la MREMBO.kuhusu kuwepo kwake nchini kenya nikweli alikwenda kujifua kidhungu kidogo,na aliludi tanga kabla hajamaliza kujiomea ingrishi kozi ni baada ya kupata msiba wa mdogo wake ally shabani (rip) kuhusu kuwepo kwake uchina kwa sasa si kweli.

ahsante mdau kwa kutujuza ukweli

Jamani nyie kwani Matonya original ndo kaimba bongo Fleva

hebu someni kidogo ka sread mkaelewa

Matonya celebrity kuliko mwingine yeyote yule kwa wengi wetu ni yule mwenye kopo na kifimbo; hatumjui Matonya mwingine zaidi ya huyu:

attachment.php

Matonya celebrity kuliko mwingine yeyote yule kwa wengi wetu ni yule mwenye kopo na kifimbo; hatumjui Matonya mwingine zaidi ya huyu: nikweli huyo matonya ulombandika hapo ndiye mwenye jina halisi ila hapa nadhani wanazungumzia MATONYA MWANAMZIKI. Huyu matonya jina alibandikwa na washkaji wake wakati anaishi pale k.koo mtaa wa nyati enzi hizo alikuwa na tabia za kuomba omba hivyo ilipelekea wale wasanii wa kundi la cash money lililokuwa pale fire limpe jina la MATONYA.kuna moja ya kibao chake alijitamburisha kabisa:anasema tonya mimi matonya gani...ninae imba barabarani... Kule mbele tena anasema, seif shaban ndiyo jina langu..... asia mzee mama yangu mlezi..... sheby na suma rafiki zangu wapenzi....... Nk.

Matonya celebrity kuliko mwingine yeyote yule kwa wengi wetu ni yule mwenye kopo na kifimbo; hatumjui Matonya mwingine zaidi ya huyu:

Huyu celebrity wetu mbona siku hizi ameishiwa skills, yaani analala kwenye kidimbwi alafu sehemu ambazo watu hawapiti anapata kweli?

Huyu celebrity wetu mbona siku hizi ameishiwa skills, yaani analala kwenye kidimbwi alafu sehemu ambazo watu hawapiti anapata kweli?
ila kweli ubuni zero.tofauti na enzi za akina makamba.au inaweza ikawa na uzee unachangia

Huyo ndo matonya wa ukweli, ana strategies kibao za kuomba.., huyo matonya mwingine hatumjui.

Huyo ndo matonya wa ukweli, ana strategies kibao za kuomba.., huyo matonya mwingine hatumjui.
nikweli jombi huyu matonya mwanamuziki humjui? Hata kwa mtutu wa bunduki utaendelea kuutetea msimamo wako kwamba HAUMJUI?

Kuna habari zinanitatiza kila cku kuhusu huyu mwana muzk,"Matonya" ni muda umepita nisikia kuwa alikamatwa na dawa za kulevya huko China, na kwamba anatumikia kifungo cha maisha jela huko huko. Je wana jf hizi habari zina ukweli wowote..?

Sina uhakika na hilo ila cku ya Idd mosi(tar.31/08/2011) nilitoka Arusha kuja kahama, nilifika majira ya saa 12:45 Jioni niliunganisha magari baada ya kuchelewa mabasi ya moja kwa moja Arusha-kahama, nikapata la mwanza nikashuka Tinde nakuchukua NOAH, Baada ya kufika Kahama nilichokikuta ni hiki;

karibia na Benki ya NBC barabara ambayo yanaondokea mabasi yaendeyo Dar, Arusha nk kulikuwa na Umati wa watu umefunga njia (barabara ile) kulikuwa na Tamasha kubwa lililoratibiwa na kampuni SAFARI LAGER, benki ya CRDB, na kampuni ya VODACoM na Wasanii waliokuwepo tamashani hapo ni; MATONYA, QUICK RACKER, PEMBE &SENGA, AFANDE SELE, NEY WA MITEGO &JOSLIN. Na ilikuwa ni Burudani iliyowafanya wasafiri wote wahamie pale kwani kulikuwa na umati mkubwa sana kwa7bu ya ziro kiingilio, japo baadae mida ya saa 7 na 8 usiku nilikutanao tena ukumbi wa starehe 'D!MPLES' uliopo kilometa kadhaa kutoka kituo cha mabasi Cha Kahama. Ila watu waliendelea kuburudika pale kulipokuwa na Tamasha kwa kucheza muziki jukwaani. Ndo hayo tu mkuu. Sasa nashindwa kusema kwamba alikuwa bado kukamatwa ama alishakamatwa na kuachiwa kwani ni mwezi huu wa kenda mwanzoni ndipo nilikutananae cjui wewe ulisikia lini labda?

Ametoka. Ila jela za China zilimchanganya akili.

Back
Top Bottom