Hivi Matonya yuko wapi wadau?

acheni umbumbumbu kama hamjui kitu ni bora mkae kimya china ukikamatwa na madawa ya kulevya adhabu ni kunyongwa kama ni ivyo angekuwa amenyongwa zamani jamaa yupo tu bize na mke wake au 7bu hasikiki?
 
True story. China wakikubamba hata na msokoto wa bangi mzee wanakupiga kamba ya shingo tu hakuna msalie mtume kule
 
kuna wakati alihojiwa na moja ya 'RADIO FM' juu ya jambo hilo,naye alikanusha vikali na kwamba kutoonekana kwake labda ndiko kulikozusha maneno hayo. Alizungumzia kuhamishia shughuli zake kati ya Arusha na Nairobi. YUPO HURU
 
matonya mbona alirudi nchini ila hasikiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…