FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Simsikii popote ama bongo ukivuma mwaka mmoja ndo kwisha habari yako ...
nasikiliza wimbo wa Anita hapa wapi Matonya?
nasikiliza wimbo wa Anita hapa wapi Matonya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simsikii popote ama bongo ukivuma mwaka mmoja ndo kwisha habari yako ...
nasikiliza wimbo wa Anita hapa wapi Matonya?
<br />nasikia yuko uchina alikamatwa na bwimbwi a.k.a poda a.k.a unga
hata mimi nilidhani anamuulizia huyo.. hivi kweli na huyo matonya orijino yu wapi???Nilidhani umamuulizia matonya original. Je yeye yuko wapi siku hizi? Yule ndo alikuwa icon ya omba omba. PR yake iliuwa kubwa kweli enzi zake.
Kama ni Matonya Original yule wa Dodoma yupo Mpwapwa na Morogoro. kwa sasa ndizo sehemu anapatikana zaidi
yupo pale morogoro kwenye kidaraja town kama unaenda hospitali ya mkoa,ila amezeeka sana kuinuka tu anatumia dakika 5 hadi 10.
Matonya yupi, yule ombaomba? Maana siku hizi hata Vasco Da Gama anaitwa Matonya kwa style yake ya kutembeza bakuli!
Matonya yupo Kenya kama sikosei.......na wewe ulipotea sana......uko mzima?
nasikia yuko uchina alikamatwa na bwimbwi a.k.a poda a.k.a unga
<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">Matonya yupo Kenya kama sikosei.......na wewe ulipotea sana......uko mzima?</span></font></font>