Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuropokaUsituchoshe!
Unatuhusu nn?Acha kuropoka
Umelazimishwa kukoment?Unatuhusu nn?
Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini
Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10
Hii kali sasa
Voda wezi yalinikuta Jana na Leo soon nawakimbia vodaWakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini
Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10
Hii kali sasa
True, mimi yamenikuta Mara nyingiWakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini
Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10
Hii kali sasa
Je umecheki data usage ya kwenye kifaa chako cha mawasiliano, mfano, smartphone au pc. Kama sio, unabidi ucheki au fanya kuset data limit, itakusaidia sana kujua MB zako zinavyolika na utaweza kucompare na kwa kuuliza salio Vodacom wanakupa ujumbe gani kuhusu MB zilizobaki. Smartphone pamoja na PC huwa zinarun application nyingi kwenye background, na yawezekana ukawa unachart Whatsapp lakini kwenye background ikawa inafanya updates pamoja na synchronization za apps.Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini
Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10
Hii kali sasa
Ukiseti data limit inafanyaje kazi?huwa naona hiyo option lakini sijawahi iwazia wala kui-apply.Je umecheki data usage ya kwenye kifaa chako cha mawasiliano, mfano, smartphone au pc. Kama sio, unabidi ucheki au fanya kuset data limit, itakusaidia sana kujua MB zako zinavyolika na utaweza kucompare na kwa kuuliza salio Vodacom wanakupa ujumbe gani kuhusu MB zilizobaki. Smartphone pamoja na PC huwa zinarun application nyingi kwenye background, na yawezekana ukawa unachart Whatsapp lakini kwenye background ikawa inafanya updates pamoja na synchronization za apps.
Natumia sana huo mfumo, na sijaexperience hilo jambo la kuibiwa data na makampuni ya simu.
Ungemjibu vizuri tu au ungepita tu kama hujisikii kujibu. Acha dharau.Usituchoshe na mambonyenu ya barakoa Huna namba zao?
Sawa mkuu nitafuata ushauri wakoJe umecheki data usage ya kwenye kifaa chako cha mawasiliano, mfano, smartphone au pc. Kama sio, unabidi ucheki au fanya kuset data limit, itakusaidia sana kujua MB zako zinavyolika na utaweza kucompare na kwa kuuliza salio Vodacom wanakupa ujumbe gani kuhusu MB zilizobaki. Smartphone pamoja na PC huwa zinarun application nyingi kwenye background, na yawezekana ukawa unachart Whatsapp lakini kwenye background ikawa inafanya updates pamoja na synchronization za apps.
Natumia sana huo mfumo, na sijaexperience hilo jambo la kuibiwa data na makampuni ya simu.
Sema Voda natumia tu kwa sababu hata nikiwa nje ya mji bado net Yao Inapiga kazi freshAha haha rudi nyumbani kumenoga wewe mb300 za shilling 500 nafanya nachotaka hizo za buku 4gb ndio kabisa simalizi. Ttcl Juzi Kati walizingua sasa wamekaa Sawa kwa kiwango cha 5g ukigusa tu pah vitu vinafunguka kama vyote ha ha ha ha ha ha
Data limit kwenye smartphone imejigawa mara mbili, kutahadharisha kama umefikia kiwango ulichoset na Kudisconnect data endapo kiwango ulichoset kimefika.Ukiseti data limit inafanyaje kazi?huwa naona hiyo option lakini sijawahi iwazia wala kui-apply.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru nimekupata, ntajaribu then nitaleta mrejeshoData limit kwenye smartphone imejigawa mara mbili, kutahadharisha kama umefikia kiwango ulichoset na Kudisconnect data endapo kiwango ulichoset kimefika.
Data limit inafanya kazi kama LUKU ila hiyo tofauti yake unaset kiwango ambacho unataka kikutahadharishe au kudisconnect. Ikisha disconnect unaweza kure-enable na kuona namna utavyoanza kuperuzi na mb zinazotumika kwanzia muda huo.
Mfano umetoka kujiunga 2Gb ya data, unaenable data limit, then unaweka kiwango ambacho unataka ukitumie kwa uwezo wako e.g. 1.5Gb then ikishafika unajua baada ya hapo unakuwa unahesabu kiwango cha mb kinachoenda ukiwa unaperuzi.
Namna ya kuset, mfano data limit unataka kuset 1.8Gb kwenye 2Gb yako, zidisha hiyo 1.8x1024=1843.2mb.