Vodacom hawaeleweki. Ukinunua MB nyingi wanashambulia, ukinunua kidoogo wanakuacha utumie vizuri. Juzi nilinunua 2.5GB kwakuwa nilikuwa ninakazi nyingi siku hiyo nikaona ili kifurushi kisiishe katikati zilivyobaki kama 990mb nikaunga kingine juukwajuu (kuna kitu nilikuwa nadownload. Wakuu, nilijicheka mwenyewe. Zile mb 900 zilifanya kazi na zikabaki wakati mwanzo zilikuwa zinaki bia kama upepo. Zile 2gb za mwisho sikugusa hata mb 1 pamoja na kupambana kuload video ndefu mpaka mwisho huko yutyubu. Vodacom kuna siku watakipata wakitakacho.