Wakuu
Naamini wengi wetu humu jukwaani tunamfahamu huyu jamaa anaeitwa Maulid kitenge.
Huyu jamaa nimemfolo huko Instagram sababu alinivutia kwenye issue za jogging.
Huyu jamaa kwa sasa ni sawa na hana ajira tu,ila mwenzetu kila siku yuko safari za nje ya nchi.
Anachokifuata huko nje huwa hakuna zaidi ya kujipiga picha tu na kutuwekea kwenye page zake.
Huyu jamaa ana issue gani za kumuingizia pesa za kudhurura nchi mbalimbali?
Usitamani kunya kwa tembo dogo. Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyeweWakuu
Naamini wengi wetu humu jukwaani tunamfahamu huyu jamaa anaeitwa Maulid kitenge.
Huyu jamaa nimemfolo huko Instagram sababu alinivutia kwenye issue za jogging.
Huyu jamaa kwa sasa ni sawa na hana ajira tu,ila mwenzetu kila siku yuko safari za nje ya nchi.
Anachokifuata huko nje huwa hakuna zaidi ya kujipiga picha tu na kutuwekea kwenye page zake.
Huyu jamaa ana issue gani za kumuingizia pesa za kudhurura nchi mbalimbali?
Ni timu moja na akina Tlaatlaah.Huyu jamaa ana issue gani za kumuingizia pesa za kudhurura nchi mbalimbali?
Licha ya kupata division zero yake ya form six pale Al Haramain, jamaa amekula maisha sanq kuliko hao wasomiWakuu
Naamini wengi wetu humu jukwaani tunamfahamu huyu jamaa anaeitwa Maulid kitenge.
Huyu jamaa nimemfolo huko Instagram sababu alinivutia kwenye issue za jogging.
Huyu jamaa kwa sasa ni sawa na hana ajira tu,ila mwenzetu kila siku yuko safari za nje ya nchi.
Anachokifuata huko nje huwa hakuna zaidi ya kujipiga picha tu na kutuwekea kwenye page zake.
Huyu jamaa ana issue gani za kumuingizia pesa za kudhurura nchi mbalimbali?
mjini mipango gentleman,Wakuu