Hivi Maulid kitenge ana mishe gani za kumuingizia pesa za kumfanya adhurure kila nchi?

Wakuu

Naamini wengi wetu humu jukwaani tunamfahamu huyu jamaa anaeitwa Maulid kitenge.

Huyu jamaa nimemfolo huko Instagram sababu alinivutia kwenye issue za jogging.

Huyu jamaa kwa sasa ni sawa na hana ajira tu,ila mwenzetu kila siku yuko safari za nje ya nchi.

Anachokifuata huko nje huwa hakuna zaidi ya kujipiga picha tu na kutuwekea kwenye page zake.
Huyu jamaa ana issue gani za kumuingizia pesa za kudhurura nchi mbalimbali?
Umesema anachokifuata huko nje hakuna zaidi ya kupiga picha, je umejuaje hakuna anachokifuata? Kwani lzm aweke masuala yake yote wazi?

You better Mind your own business
 
Wakuu

Naamini wengi wetu humu jukwaani tunamfahamu huyu jamaa anaeitwa Maulid kitenge.

Huyu jamaa nimemfolo huko Instagram sababu alinivutia kwenye issue za jogging.

Huyu jamaa kwa sasa ni sawa na hana ajira tu,ila mwenzetu kila siku yuko safari za nje ya nchi.

Anachokifuata huko nje huwa hakuna zaidi ya kujipiga picha tu na kutuwekea kwenye page zake.
Huyu jamaa ana issue gani za kumuingizia pesa za kudhurura nchi mbalimbali?
Cha ajabu kazi anayofanya baba yako huijui unaulizia kazi za watu wasiokuhusu.

Dogo acha wenge.
 
Huyu ndo mtu wa kwanza kwenda Ngorongoro then wamasai wakafukuzwa
 
Back
Top Bottom