Hivi mawakili huwa wanasalimianaje mahakamani?

Hivi mawakili huwa wanasalimianaje mahakamani?

Hakuna formal greeting ila wanaitana tu msomi au learned friend.

So kama ni salamu watasalimiana "habari msomi..."

Kama wako mbele ya jaji au hakimu watamsalimia as "G'morning/afternoon Your honour"
 
Niliwahi kwenda kesi moja,walisalimia Jaji his lordship hii imekaaje??
Yes..hizo title pia hutumika kwao...Lordship for male Judges na Ladyship for female judges. Inatokana na tamaduni za waingereza tulikotolea mfumo wetu wa sheria.
 
Back
Top Bottom